Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,513
Any way, haya tuyaache, hata Ulaya na America zilijengwa kwa dhulma, damu na gharama za uhai wa mamilioni ya binaadamu. Acha Mheshimiwa aijenge nchi kwanza.Na ukitaka kujua yule Msiba wa taifa yupo smart, mpelekee details zote za Rost tamu uone kama 'atamtetea' Mkulu.
FaizaFoxyWakuu,
Tuliwahi kuweka doc moja ambayo ilikuwa detailed kwa kina juu ya wahusika wote wa EPA na nahisi wengi hawakuigundua section hii. Sasa nimeonelea niziwasilishe katika mtiririko ambao hata ambao hawajajisajili wanaweza kuona wahusika hao na kujiuliza KWANINI hawajachukuliwa hatua. Au wamerejesha? Tutajuaje?
Wamiliki wa makampuni haya WANAFAHAMIKA! Tunaweza kuwataja hapahapa na hata mahala wanapoishi.
Kwa maswali ypypote njo kwenye uzi wangu wa maswali, bofya chini hapo, sitaki kuharibu mada za watu:
Ni kweli mkuu,Kuna haja ya kila mtu kula vile anavyoweza kila apatapo upenyo, maana huko juu watu wanaila nchi bila huruma!
Maregesi ni nani nchi hii?Siku ambayo ukisikia Maregesi amesimamishwa kizimbani nadio ujue kuwa sasa kumekuchana mchele utamwagiwa kuku ikiwa watashindwa kumyamazisha!!
Utaharibu vipi uzi kwa kuweka facts zako?Kwa maswali ypypote njo kwenye uzi wangu wa maswali, bofya chini hapo, sitaki kuharibu mada za watu:
Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa
General Knowledge. Naam, kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natumia fursa hii ya mtandao adhyim wa JF kuwapa fursa wanamtandao wote wapate fursa ya kuuliza kuhusu mada au jambo lolote ambalo unataka upatiwe majibu. Si majibu yote yatatoka kwangu binafsi, bali nitajitahidi iwezekenavyo...www.jamiiforums.com
Zingine hazihusiani na ha uzi.Utaharibu vipi uzi kwa kuweka facts zako?
EPA siyo haramu wala siyo dhambi.