Kagoda: Ni Rostam

Kagoda: Ni Rostam

Huyu atakuwa alitumika tu na hela hana......... patamu hapo !!!!!!! unaweza kukuta dili zote hizo yeye labda alipewa$50, 000 akamalizia kanyumba kake halafu basi tena

Wote wanaouza nchi huwa wanachukua asilimia ndogo tu ya kile kinachoibiwa. Mwacha akome huko huko kama fundisho kwa wengine.

Kama anajua mengi, ameshindwa nini kuyamwaga muda wote huu? Hata kutuletea habari hapa JF kashindwa.

Na yeye anaweza kutangaza kifo huko ukonga.
 
Sidhani serikali inataka ushahidi halisi ujulikane. Subiri uone.

Naam hili lina ukweli kabisa. Baada ya Ballali kuondoka nchini serikali ilikuwa na nafasi chungu nzima ya kumrudisha nchi ili kutoa ushahidi kuhusiana na wizi wa EPA lakini wakafanya usanii wa hali ya juu ili mradi kuhakikisha Ballali harudi nchini. Hata serikali ya Marekani ilipotoa offer ya kusaidia kumrudisha Ballali nchini kama ingepata ombi hilo toka serikalini, serikali ikakaa kimya bila kuichangamkia offer hiyo ambayo inaonyesha wazi kwamba serikali ilihakikisha inafanya kila njia Ballali asikanyage tena ardhi ya Tanzania. Sasa anakula kuku kwa mrija huko alikojichimbia na mabilioni ya walipa kodi wa Tanzania.
 
Wote wanaouza nchi huwa wanachukua asilimia ndogo tu ya kile kinachoibiwa. Mwacha akome huko huko kama fundisho kwa wengine.

Kama anajua mengi, ameshindwa nini kuyamwaga muda wote huu? Hata kutuletea habari hapa JF kashindwa.

Na yeye anaweza kutangaza kifo huko ukonga.

Hawa wezi wanamna hii wanaojifanya wanakufa/wanatakakufa kishujaa bila kutoa info kwa jamii kuhusiana na uharamia uliotendeka - I HATE THEM IN THEIR DEATHS!!!
 
True lies. Uongo na ukweli these are immiscible solutions. Its a simple chemistry. If they wont reveal the truth, it will just reveal itself. So its them tricks will let them down.

All in all mshikwa na ngozi ndiye mwizi wa ng'ombe.
 
Ringo Tenga ni MfugaMAFISADI coz he's the same Advocate aliyeshuhudia cotract za Richmond... Siajabu he's the company secretary for Caspian... Jamani walikaribu na wagazeti na Civil Society Tanzania... wekeni pressure huyu jamaa abanwe awataje hawa watu..
 
i can see some people tuna ndoto nzuuuuuri....atiii kesi zitaenda na hawa kina jeetu patel wawekwe ndani???yaani jelaaa???thijui,labda nt in tz where kila kitu chaweza nunuliwa
 
0kay, hivi kwa dar 28 ni code area ya wapi? kwa mfano msasani 26, mikocheni ni 27, ubungo, 24, down town 21, Sinza sina hakika, inaweza kuwa 28?

Kwa Dar, area code 28 ni Chang'ombe, eneo lote la viwandani kwanzia hapo Chang'ombe VETA, Quality Garage kwa Manji hadi Maeneo ya Tazara. Eneo hili linazungukwa na barabara za Chang'ombe, Mandela na Nyerere (zamani Pugu).
 
Kwa Dar, area code 28 ni Chang'ombe, eneo lote la viwandani kwanzia hapo Chang'ombe VETA, Quality Garage kwa Manji hadi Maeneo ya Tazara. Eneo hili linazungukwa na barabara za Chang'ombe, Mandela na Nyerere (zamani Pugu).

Asante, hii inanarrow down targets katika kumtafuta aliyekuwa akiimiliki hiyo namba ya simu kwa wakati huo.
 
Huyu Jeetu ndo tatizo! Na huu ni uchunguzi wa akaunti moja kwa mwaka mmoja! Na wakichunguza,lets say akaunti kumi kwa miaka kumi,nadhani wakuu wote watakwenda na maji!
 
Si uwataje? Nani kakuzuia?

Well,

Ngoja tuziweke detailed:

19.
COMPANY NAME: Clayton Marketing Ltd

Shareholders and Directors: Johnson Lukaza and Maregesi

Related Company: Proin Properties/Kernel

Office Location: Plot 73 Kinondoni Road

Residence Address: ?

Mwanahaki,you sounded like a doubting Thomas.Haya majina na anuani ndio hizo.Je umeridhika sasa?Invisible angekuwa mwoga asingeweka zile documents in the first place.Na as kuogopa/kuzuiliwa....well,motto wa JF ni WHERE WE DARE TO TALK OPENLY,so HAOGOPWI/HAZUILIWI MTU.
 
Ringo Tenga ni MfugaMAFISADI coz he's the same Advocate aliyeshuhudia cotract za Richmond... Siajabu he's the company secretary for Caspian... Jamani walikaribu na wagazeti na Civil Society Tanzania... wekeni pressure huyu jamaa abanwe awataje hawa watu..

wakati upinzani unaingia rasmi mwaka 1992....na hata uchaguzi wa 1995..ringo tenga alikuwa miongoni mwa vijana wa makamo wa kitanzania waliosumbua sana enzi hizo akiwa NCCR MAGEUZI...ringo tenga was among founders and activist walioeleweka wa siasa miaka hiyo to name....

mabere marando

masumbuko lamwai

ringo tenga

dr mvungi

james mbatia..et al

..of late wote naona sasa wamekua kimya hasa baada ya kusambaratika kwa nccr ..kwenye ule mkutano wa tanga..na mrema kuokolewa na aliyekuwa mlinzi wake capt.mohamed posh ..baada ya mrema kutumia mbinu ya kijasusi ya kuvua kofia haraka na kumvalisha mzee aliyekuwa mbele yake..alipoona umeme umezimwa..na posh akamficha uvunguni...yule mzee alibebwa na vijana wa marando na kutupwa gorofani akavunjwa kiuno.....poor....

anyway tuwekeni historia sawa....hawa waazilishi wa nccr wote leo wamepoa sana ..na maisha yao allah hamdullilah....si mbaya.they are being taken care..!

from that naomba niulize wanaojuwa..

..je,kuna uwezekano mkubwa kuwa nccr mageuzi ilikuwa ..wing ya TISS[ PER CE].?
.maana haiwezekani wapiganaji wote hawa tuliokuwa tukiwapenda ...leo wamejeuka mafisadi..naona hata mabere ana commitments nzuri nzuri tu...

..mrema alikuwa mpinzani halisi?...kwa nini alipojitoa tu ncccr walikuwa wapinzani waliopigania kwa nguvu akiunge nao.....na kwa nini baada ya uchaguzi wa 1995 ambao walifanikiwa kujenga ground work....ilitokea rebellion ya nguvu kwa ndani ..iliyofanya mwaka 2000..uwe wa aibu kwa wapinzani..na wachochezi wa hii rebellion nccr ndio leo wanatesa...

tanzania basi inawezekana haikupenda kuwa mult party ..na baada ya kulazimishwa na wakati ...wakaja na optioon ..ya serikali kuunda chama chao....

kwa nini wapinzani wa kweli ..leo hii wana maisha ya duni na fedheha ..na leo hii system hutumia suffering za maisha wanazopata mtu kama mrema kutishia watu wanaochipukia ndani ya ccm[wengi huambiwa ..alishindwa mrema aliyekuwa na nguvu ..utaweza wewe..kama unabisha ukamuangalie mrema]

watu kama james mapalala wamegeuzwa comedy....hasa wanapoigizwa wakipanda daladala ...nafikiri kosa kubwa alilofanya mtu kama mrema 1995 ni kujiunga nccr.......angeweza kuwa na watu kama mapalala,kambona na danstan liiffa chipaka ..kungetokea mabadiliko makubwa sana...
 
....nikikumbuka watu kama dr aleck che mponda.....na of late christopher mtikila..tunagundua huwa anatumiwa ....nagundua kuwa kweli serikali imecheza sana na akili zetu.....na mapandikizi......wananchi waliaminishwa kuwa tanzania ina vyama vingi....i dont know who was the archtect of this plan...je ni nyerere..maana ndiye aliyekuwa wa kwanza kuwaambia ccm wakubali kura za maoni ....pamoja na kuwa walidai asilimia 80 walitaka tubakie chama kimoja..

it was well undertaken secret plan.....kichwa kama hicho ni nyerere tu...pale TISS ya enzi hizo ..angeweza kupanda plan kama hiii...ambayo imechukuwa miaka karibu 16 watanzania wachache kugundua kuwa we had have been taken for a ride all this time....siku hizi pale hakuna anayeweza kutunza siri hata kwa wiki moja......
 
Dr. Tenga owns a mansion in kunduchi and a town apartment in masaki.. watoto wake wawili wako Uingereza wanasoma.. baada yakusoma South Africa na Marekani sekondari, mwengine yuko Tanzania anafanya Kazi kwenye kampuni kubwa ya matangazo which he partly owns.... Hali yake ikojuu sana tuu sio kitoto.
 
KAGODA: The secret document that ''tells all'' (Thisday)

KAGODA Agriculture Limited signed a secret document with the Bank of Tanzania (BoT) to facilitate the illegal payment of more than $30.8m (approx. 40bn/-) from the external payment arrears (EPA) account, it has been revealed.

According to latest THISDAY findings, the secret document exposes the real beneficiary of the funds embezzled from the key BoT forex account during 2005/06.

It has been widely reported that two virtually unknown individuals - John Kyomuhendo and Francis William were used by at least two prominent local business tycoons as fronts to camouflage their (tycoons) real involvement in Kagoda.

Kyomuhendo, whose name was used for documentation purposes as 'director' of Kagoda, is understood to have given power of attorney to one of the business tycoons immediately after the central bank transferred the funds to the company's accounts.

This tycoon, believed to have actually employed Kyomuhendo in one of his well-known companies, quickly withdrew the funds from Kagoda's bank accounts and used an elaborate money-laundering scheme provided by an equally well-known business partner to hide the monies elsewhere.

Officials close to the EPA scandal investigation led by Attorney General Johnson Mwanyika now say a written contract was prepared by the then BoT governor Dr Daudi Ballali (now deceased) as an ''insurance policy'' should anything go wrong after the huge payment was made to Kagoda.

''When Ballali was given instructions from the highest levels of government to approve the dubious payment to Kagoda, he decided that there should be some sort of written understanding between the central bank and the real beneficiary of the funds paid to Kagoda,'' said a well-placed source familiar with the scandal.

The source added: ''While Ballali certainly cannot be absolved from blame, there were powerful people in government who ordered him to authorise the payments to Kagoda.''

Insiders say several other documents that are yet to be made public name senior officials in the third phase government of ex-president Benjamin Mkapa who ''forced Ballali to okay the payment of more than 40bn/- to Kagoda.''

Imani David Mwakosya, who was the Head of Bilateral and Commercial Debt (HBCD) at the BoT at the time of the 133bn/- EPA scandal, is said to be one of ''only a few people aware or in possession of the secret document between the BoT and Kagoda.''

Mwakosya, who is also one of only two suspects still being held in remand prison in the ongoing EPA scandal prosecutions, is reported to hold ''valuable secrets'' related to the scandal.

And auditors who uncovered the scandal identified Mwakosya as the person ''primarily responsible for EPA account administration.''

Prosecutors have so far filed criminal charges against a total of 20 people at the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam in connection with the EPA scam.

Eighteen of the accused persons have been released on bail. They include Mwakosya's former boss at the central bank, Ms Esther Komu, who was the deputy director of the BoT Debt Department (DDDD) which falls under the directorate of economic policy.

The prosecution team has already announced that Peter Noni, who served as BoT Director of Economic Policy, is among the many witnesses it will call to the stand to testify in the upcoming trial hearings.

After serving as director of economic policy, Noni was appointed to the post of BoT Director of Strategy Planning and Performance Review.

Other senior BoT officials scheduled to appear in court as prosecution witnesses have been named as Tamali Mwakilema, who has also served as deputy director of the BoT debt management department, Emmanuel Boaz, Elisa Isanja, Rashid Mwanga, Samwel Mark, Athumani Mtengeli, and Stela Chaula.

The Assistant Registrar of the Business Registration and Licensing Authority (BRELA), Andrew Mkapa, and senior officials from the Kenya Commercial Bank (KCB) and Commercial Bank of Africa (CBA) have also been listed as prosecution witnesses in the EPA trials.
 
toleo15.jpg
 
Heri wewe umeamua kusema moja kwa moja bila kuuma maneno, hicho ndicho kinachowashinda Viongozi wetu. Laymen wanajua na laymen hawana vyombo vya ushushu lakini Viongozi wetu na Serikali haimjui Kagoda. Si wamkamate Kyomuhendo na mwenzake then waone kama majibu yatakosekana.
 
PM: Kagoda pressure mounts on DPP

2008-11-25 11:07:09
By Sakina Zainul Datoo


Director of Public Prosecutions Elieza Feleshi will soon have to respond to mounting pressure from all sides and reveal details on the controversial Kagoda Agriculture Limited, Prime Minister Mizengo Pinda has said.

The firm is alleged to have siphoned off 40bn/- of the 133bn/- stolen from the Bank of Tanzania`s (BoT) External Payments Arrears (EPA) account.

Talking to editors in Dar es Salaam yesterday, the PM said the DPP was currently holding the Kagoda file and diligently working on it, along with the other 12 EPA case files but he would soon have to announce the details on Kagoda because the pressure was coming from everywhere, left, right and centre.

``The government is not embracing Kagoda as some people think. A lot of people had also thought that the government would not be able to deal with EPA at all but as you can see, people have been taken to court.

You will see the DPP revealing Kagoda`s details and this will have to be soon, it can`t be indefinitely,`` he said.

Responsible for over 45 per cent of the money stolen by the 13 companies whose investigation is complete, Kagoda poses a litmus test to the government on its ability to deal with grand corruption in Tanzania.

East Same MP (CCM) Anna Kilango on Sunday urged the government to speed up the process of arresting and charging Kagoda owners.

The Chairman of Confederation of Tanzania Industries (CTI), Reginald Mengi kick-started the appeal to the DPP last week.

The Premier thanked the media for the work they had been doing in exposing corruption, thus aiding the government in its development agenda.

Asked why then had the government punished the media through a controversial ruling on closing down the MwanaHALISI newspaper, which went totally against the spirit of freedom of the press, Pinda said the closure was most unfortunate.

``I was briefed by the minister in charge that the newspaper editors had been warned on three separate occasions for writing what the minister deemed as inappropriate.

He told me he had asked the editor to present evidence over what he had written but the editor failed to do so, so using his powers, aided by law, he closed down the paper,`` said the PM.

He added that Tanzania had set a very good culture of press freedom which was known everywhere and the government had every intention to maintain that.

``Some foreign envoys actually approached me after the MwanaHALISI closure asking me about this and if we could quash that ruling.

We failed to do that because it would have looked like as a government, we are fighting within ourselves. However, it really was an unfortunate incident,`` he said.

Pinda advised editors to take the matter to court to challenge the minister\'s ruling. This, he said, would also help the media in the long run.

He also said given the incident, it was important that the Media Service Bill, which among other things, seeks to do away with outdated laws that chock media freedom, such as the Newspaper Act 1973 which was used to close down MwanaHALISI, should be speeded up.

The PM said that the draft bill had already been handed over to the minister and he had requested to pursue it so that it does not rot at the minister`s desk.

Challenged if the government had shown double standards by punishing MwanaHALISI so severely but having taken no action against the government owned HabariLeo that had also carried a similarly controversial story, the PM said he had followed the debate over the issue and heard the minister say in Parliament that he had summoned the newspaper`s editors and warned them.

He said he could not say anything over the fact that the editors had denied being summoned by the minister and said since the debate on whether the minister lied to Parliament or not was still on, the outcome remained to be seen.

He, however, urged media personnel to abide to professional ethics so as to avoid friction between the media and the government.

With so much friction everywhere, the government is not in the good books of teachers, Ex-EAC workers, students etc. Is the government overwhelmed? PM was asked.

``Not at all. Such problems are common. I remember after Mwalimu`s presidency, when President Mwinyi came to power, his first five years were very rough.

Things got better during his second term. Similarly, President Mkapa`s first term was also very rough.

Now Kikwete is having it rough, just like the others, but things will calm down. We are definitely not overwhelmed,`` Pinda said.

SOURCE: Guardian
 
Mkuu M.M.M na wanaJamvi wenzangu, kweli tumeisha jamani, kweli nchi yetu imeisha kabisaaaaaaa......................

Ngoja nipumzike manake duh, hata kazi haipandi tena manake inatia hasira mpaka basi... Mungu Ibariki Tanzania na watu wake!!
 
Bravo Mzee Mwanakijiji. You have hitted the nail. You deserve credit!!!! Nimekuwa nikichangia hapa kuwa Kagoda=Rostam Azizi. Nina taarifa za uhakika kuwa Manji aliombwa aichukue kesi ya Kagoda ili kumficha Rostam Azizi. Manji alikubali na alikuwa anapewa fedha arudishe na si fedha halisi za Manji!!!! Sasa ngoma ipo kwa DPP kuchuja ni yupi apelekwe 1. Wakurugenzi waliofungua Kampuni 2. Mmiliki wa Kampuni 3. Aliyerejesha Fedha ??? Huo ni usanii, na kwa kuwa ssm inalelewa na Rostam, Manji na Sonil Tamil, Subash Patel, Jeet Patel (huyu huwa anafanya mpaka party nyumbani kwake kuwapongeza viongozi wapenda misosi ya bure wasiofuata maadili ya uongozi wao - hakuna kitu cha bure toka kwa mhindi wewe subutu!!!) na wengineo basi haki itendeke si kumtesea Mwakosia wa watu selo wakati wao walipewa order ya kutekeleza mipango ya over night ya minjemba ya ssm.
 
Back
Top Bottom