Kagoma Kukopwa kama Walivyokopwa wengine na sasa Wanashtaki hivyo ni ama anabakia au anaenda Kwingineko au anamalizia Nyumbani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Siyo kila Mtu anapenda Kudanganyika na Kukopwa huku Mali Kauli zikiwa nyingi. Kawatoleeni Mbavuni Kudadadeki.

ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU

Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA yako ya KURITHI na ya KISHETANI na kwa KUTESWA na NYOTA YANGU KALI kutoka kwake MWENYEZI MUNGU ALIYONIBARIKI / ALIYONITUNUKU nayo tokea ANANIUMBA acha Kusoma Mada zangu kwani Sijakulazimisha na wala sijakushikia Mtutu wa Bunduki Usome au uwe Unanisoma hapa Jamiiforums.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na hakutotokea mwingine wa kufanana nami.

Nimemaliza.
 
Nani tena kawastukia?
 
Ukishaona tu hizi dalili, basi utambue fika mwezi unakaribia kuingia gizani.

Back
Top Bottom