Kagoma kutoka Getho anataka kuolewa. Msaada tafadhali

Ushahidi tosha huu
Miaka 30 inakuhusu jela
 
Nafahamiana na retired soldiers and generals wengi tu, embu nipe maelezo baba yake anaitwa nani in pm
Haaaf kijana umeingia kwenye matatizo makubwa na bila kutumia akili ukaishia kutumia nguvu ambazo hazitasaidia na kusikiliza sifa unazopewa hapa kwamba ni gogo ndo limemfanya abaki basi utakya unajidanganya.
 
Naona unahatarisha marinda yako kwa huyo mjeda. Watoto woote hujawaona ila ukaamua kutoka na huyo wa mjeda tena mwanafunzi.
 
Shule zifunguliwe tu maana wanafunzi mnatusumbua sana, wee unasema kagoma kuondoka vip angekufa
 
Ulivyo tongoza uliomba msaada
 
Waange tu ndugu, jamaa na masela kwa sababu, "Hatutakuona tena Kamandaaa", Daznudanzi.
Maana, sheria ni miaka 30 au weka mafuta kabisa kwenye 0713 maana hadi hapo hautakuwa marinda.

Pumba.fu sana weye.
Mkuu natoa hadi machozi ila mtoto kidoogo anaelewa anaweza akaondka
 
Wa kuhaya mwakata
Ukwanza kwimala
 
Hawa watu wanaitwa wanafunzi hamuwaonei huruma? bado mnawagonga tu.....mbona mnawaharibia future? hawa hawana akili ya kujitegemea sasa ivi,wanahitaji msaada pls msiwagonge tafadhali.
Usiombe ugongewe mdogo wako anayesoma alafu adate au ashike mimba....
Chukua tahadhari miaka 30 inakuhusu ukithibitika pasipo shaka,na wazazi wa pande mbili miaka 5 kila mzazi.....safari njema
 
Kuna dalili hii ni hadithi tamu kama za Shigongo. Kama sio hadithi, basi tambua unacheza na miaka 30 ambayo haina parole. Hainaga kukubaliana na denti, hapo umebaka na Jamhuri itakushughulikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…