JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Zilizotolewa ziko wapi, unaweza ukaoneshwa shock up yoyote iliyopo.Dar mna Mafundi mashetani sana..lakini Mwenye gari nae anakuwa wapi haulizi hata shock up mpya zilizofungwa ziko wapi na zilizotolewa ziko wapi
Mpeleke kituoni huyo fundi pumbavu kabisaView attachment 2574165
View attachment 2574166
Gari inagonga fundi anasema ni shock up. Anapewa hela ya kununua shock up zingine.
Kinyume chake anaweka hizo rubber kwenye Coil.
Kifuatacho badala ya Impact kubwa kuishia kwenye Coil na shock absorbers. Impact kubwa inaishia kwenye bodi.
Siyo mimi mkuu. Ni ndugu yangu yamemkuta.Mpeleke kituoni huyo fundi pumbavu kabisa
Nilipoamua kuwa fundi wa gari langu mwenyewe watu walimibeza....View attachment 2574165
View attachment 2574166
Gari inagonga fundi anasema ni shock up. Anapewa hela ya kununua shock up zingine.
Kinyume chake anaweka hizo rubber kwenye Coil.
Kifuatacho badala ya Impact kubwa kuishia kwenye Coil na shock absorbers. Impact kubwa inaishia kwenye bodi.
Mkuu kuna watu hawataki kujitesa, akifika kazini anampigia kijana aje achukue gari akalioshe,Dar mna Mafundi mashetani sana..lakini Mwenye gari nae anakuwa wapi haulizi hata shock up mpya zilizofungwa ziko wapi na zilizotolewa ziko wapi
View attachment 2574165
View attachment 2574166
Gari inagonga fundi anasema ni shock up. Anapewa hela ya kununua shock up zingine.
Kinyume chake anaweka hizo rubber kwenye Coil.
Kifuatacho badala ya Impact kubwa kuishia kwenye Coil na shock absorbers. Impact kubwa inaishia kwenye bodi.
Fundi wengi ni wezi wezi tu.Ikiwa kazi ni kubwa na usimamizi wako ni mdogo au hakuna basi nendeni kwa mwanasheria mkabidhiane kaziMafundi Mafundi sijui wana shida gani, Fundi ujenzi shida, Fundi Magari ndo usiseme, Fundi Nguo ndo sikwambii, Fundi Simu huyu ndo weka mbali na Watoto yaani Mtu akiwa Fundi sijui anakuwaje!!!!
Hatari sanaFundi wengi ni wezi wezi tu.Ikiwa kazi ni kubwa na usimamizi wako ni mdogo au hakuna basi nendeni kwa mwanasheria mkabidhiane kazi
Wewe ndio ulipigwa ATF ya Toyota type yoyote Ile inauzwa si chini ya 100k Sasa hiyo ya 65k ni zile za kutengenezwa kariakoo Ila Zina madumu ya ToyotaShida ya mafundi wanatamaaa mmi binafsii uwa namsimamia fundi ad ananiita boss kipereee juzi naenda kubadili hydraulic ya gear box ATF ajaja na ya Toyota OG anasema 90k kwakuwa mm nilikuwepo nkaend dukn kutafuta io ATF nikaipata kwa 65k sasa tamaaa x ndo zinafany hivyo usimamiz muhimu