Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee hebu kuwa basi na uandishi wa adabu. Andika kwa aya na nafasi. Unarundika maneno yoote kwenye aya moja huu sio ustaarabu.Kwanza usimuamini fundi cha pili usiwe mlalamishi sana ukienda service na usiondoke mpka gari yako ipone.
Siku moja nilienda garage moja nikawapa gari watengeneze na fundi sio mgeni kwangu basi jamaa akaweka gari sawa nikaondoka nikarudi ndani ya dakika kadhaa naona wanahangaika kuipandisha gari juu bahati nzuri kulikua na coaster private dereva kalala ndani nikazama nikawa nimekaa mbele pale nikamtonya dereva soma mchezo nn kinafanyika pale jamaa wakaanza kukata masega nikawa nimeshamstua mwanangu yupo kituo kimoja town akaja fasta akawapa gari kama anataka lifunguliwe miguu alafu naye akapotea akaja akapanda kwenye coaster nilipo jamaa alipojiridhisha kuwa walikua na nia ya kuiba masega akashuka akawatia nguvuni wakarushwa utuo chap pale wakajieleza wenyewe na wakataja gari ngapi washaiba masega wakalipa nikawaachia polisi mtu wao ki masihara jamaa akapotea mwaka ametoka kila akiniona hapo garage anawaambia wenzake hii gari nahudumia mimi asiguse mtu mwingine ni yamoto hii gari. Ila ilisaidia kupunguza uwizi wa masega kizembe
Nisaidie kuandika ww mstaarabuAisee hebu kuwa basi na uandishi wa adabu. Andika kwa aya na nafasi. Unarundika maneno yoote kwenye aya moja huu sio ustaarabu.
Kama unaenda kununua mwenyewe, duka liko mbali kidogo, fundi akiamua kufanya manjegeka baada ya we kutoka, uwezekano mkubwa sana.Mimi kanuni yangu ni kuwa nikienda kufanya service nandaa siku nzima na Fundi anajua ni marufuku gari yangu kulala gereji kwake. Na nasimamia mwenyewe. Spare yeyote ni lazima tujadiliane na Fundi kwanza kisha Mimi ndio niamue nikanunue duka lipi.
Ukijifanya uko busy watakuibia kila siku.
Kwa Fundi kuna duka hapo hapo. Yeah muhimu sana kuwa na Fundi wako.Kama unaenda kununua mwenyewe, duka liko mbali kidogo, fundi akiamua kufanya manjegeka baada ya we kutoka, uwezekano mkubwa sana.
Kuibiwa kwa fundi ni ngumu kukwepeka, Muhimu tuwe na mafundi rafiki, siyo kila siku fundi mpya, angalau siku nyingine akuonee huruma.
Hataki tena mchezo kwenye kazi, na amekuwa makini na kazihii gari nahudumia mimi asiguse mtu mwingine ni yamoto hii gari. Ila ilisaidia kupunguza uwizi wa masega kizembe
Kwa gari za Kijapani yes ni rahisi kwa fundi kuwa na duka hapohapo sababu ya uwepo wa spea nyingi za bei rahisi.Kwa Fundi kuna duka hapo hapo. Yeah muhimu sana kuwa na Fundi wako.
Shikilia hapo hapo mm pia wamenitungia jina ZESHESHENI.mwanzo mwisho vingi kama sio vyote nakuja navyo mm serviceShida ya mafundi wanatamaaa mmi binafsii uwa namsimamia fundi ad ananiita boss kipereee juzi naenda kubadili hydraulic ya gear box ATF ajaja na ya Toyota OG anasema 90k kwakuwa mm nilikuwepo nkaend dukn kutafuta io ATF nikaipata kwa 65k sasa tamaaa x ndo zinafany hivyo usimamiz muhimu
big up sana,lazima ujibidishe walau kujua abc za kiti chako,mimi gari yangu,nabadilisha oil mwenyewe,tairi na kucheki mambo ya umeme,pia taa na fuse nabadilisha mwenyewe...Nilipoamua kuwa fundi wa gari langu mwenyewe watu walimibeza....
Leo sina ugomvi na mafundi..
Kama huwezi kuwa fundi wa gari lako, nakushauri simamia mafundi, wafungue kitu chenye hitilafu, uende dukani mwenyewe...
Na hata siku moja, usiache kifaa chako kilichotolewa kwenye gari garage....
Labda kama umejiridhisha kuwa kimeharibika kabisaa....
Hawa mafundi nyundo, huwa nawaachiaga kazi za kulala huko chini huku nimewasimamia vilivyo..
Kumbe tupo wengiHuna najifariji kwa kupitia nyuzi za wenye gari..🤔🤔🤔
Ipo siku yangu
Umecheza kama john Rambo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwanza usimuamini fundi cha pili usiwe mlalamishi sana ukienda service na usiondoke mpka gari yako ipone.