Kagueni magari yenu yakitoka kufanyiwa marekebisho.

Huna najifariji kwa kupitia nyuzi za wenye gari..πŸ€”πŸ€”πŸ€”

Ipo siku yangu
 
Aisee hebu kuwa basi na uandishi wa adabu. Andika kwa aya na nafasi. Unarundika maneno yoote kwenye aya moja huu sio ustaarabu.
 
Mimi kanuni yangu ni kuwa nikienda kufanya service nandaa siku nzima na Fundi anajua ni marufuku gari yangu kulala gereji kwake. Na nasimamia mwenyewe. Spare yeyote ni lazima tujadiliane na Fundi kwanza kisha Mimi ndio niamue nikanunue duka lipi.
Ukijifanya uko busy watakuibia kila siku.
 
Kama unaenda kununua mwenyewe, duka liko mbali kidogo, fundi akiamua kufanya manjegeka baada ya we kutoka, uwezekano mkubwa sana.

Kuibiwa kwa fundi ni ngumu kukwepeka, Muhimu tuwe na mafundi rafiki, siyo kila siku fundi mpya, angalau siku nyingine akuonee huruma.
 
Kwa Fundi kuna duka hapo hapo. Yeah muhimu sana kuwa na Fundi wako.
 
Kwa Fundi kuna duka hapo hapo. Yeah muhimu sana kuwa na Fundi wako.
Kwa gari za Kijapani yes ni rahisi kwa fundi kuwa na duka hapohapo sababu ya uwepo wa spea nyingi za bei rahisi.

Kwa gari za kizungu au kwa gari yoyote ambayo mtu anafunga spea original.

Kutoka kwenda kununua spea ni kitu cha kawaida. Maana itakulazimu uende kwa Dealer wa spare parts za hayo magari au mawakala wao.
 
Shikilia hapo hapo mm pia wamenitungia jina ZESHESHENI.mwanzo mwisho vingi kama sio vyote nakuja navyo mm service
 
big up sana,lazima ujibidishe walau kujua abc za kiti chako,mimi gari yangu,nabadilisha oil mwenyewe,tairi na kucheki mambo ya umeme,pia taa na fuse nabadilisha mwenyewe...
 
Umecheza kama john Rambo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…