Kah! Leo ni marayangu yakwanza kabisa

Kah! Leo ni marayangu yakwanza kabisa

Superboy

Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
45
Reaction score
6
Hi mabest leo mimi ni mgeni humu, nimechokoa watu humu nanimepata mitusi yakutosha nimetulia tu hapa nashushia na grandmalta.. Tuko pamoja
 
Karibu sana ila sheria ni kama Tai-iwe mbele kwa kila jukwaa,usilete lugha za kwenye Facebook
"Vox popoli vox dei"
 
Back
Top Bottom