figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Hapa ndipo pazuri sasa. Wananchi kwa umoja wetu tukiamua kujibu mapigo watanyoosha mkono.Hapa ni Mhongolo iliyopo Manispaa ya Kahama. Wananchi walijenga kizimba cha CHADEMA kikavunjwa, wakajenga tena Katibu Mkuu akakizindua nacho kimevunjwa tena.
Ni Aibu kwa CCM ya huyo Mzanzibari Mzanzibari wennu Samia.
Kizimba kinaandamana? Kinapiga kura? Kuua wanachama wa Chadema mumeona haitoshi?
View attachment 3591848
Hawanaga uvumilivuHapa ni Mhongolo iliyopo Manispaa ya Kahama. Wananchi walijenga kizimba cha CHADEMA kikavunjwa, wakajenga tena Katibu Mkuu akakizindua nacho kimevunjwa tena.
Ni Aibu kwa CCM ya huyo Mzanzibari Mzanzibari wennu Samia.
Kizimba kinaandamana? Kinapiga kura? Kuua wanachama wa Chadema mumeona haitoshi?
View attachment 3591848
Yes,Hapa ni Mhongolo iliyopo Manispaa ya Kahama. Wananchi walijenga kizimba cha CHADEMA kikavunjwa, wakajenga tena Katibu Mkuu akakizindua nacho kimevunjwa tena.
Ni Aibu kwa CCM ya huyo wennu Samia.
Kizimba kinaandamana? Kinapiga kura? Kuua wanachama wa Chadema mumeona haitoshi?
View attachment 3591848
Umejileta. Barabara ipi? Hujui kitu kaa kimyaKimejengwa kwenye hifadhi ya barabara kwa hiyo ni sahihi kabisa kubomolewa
Vya ccm vyote pia vipo kwenye hifadhi ya barabara lakini wana Chadema hawavigusi kabisa!!!Kimejengwa kwenye hifadhi ya barabara kwa hiyo ni sahihi kabisa kubomolewa
Dahh!! Sio poaaa
Si kweli.. Hata hivyo tangu kuaasisiwa kwa vyama vya siasa. Vizimba vinajengwa pembezoni mwa barabara.. Huwa haikatazwi sababu ni temporary..Sababu za kuvunja ni kwa sababu ya kujengwa na CHADEMA au ni sheria ya Ardhi au Manispaa. Kama sababu ni kwa kuwa kimejengwa na CHADEMA, basi CCM wamekata moto.
CCM wamezoea kufanya ghasia za kuharibu mali.. Kwanini wajichukulie sheria mkononi? Kwanini wasiende kushitaki Polisi? Wangedhuriwa ingekuaje? Au ni kutafuta sababu wasema chadema wawapiga ccm?Hapa ndipo pazuri sasa. Wananchi kwa umoja wetu tukiamua kujibu mapigo watanyoosha mkono.
Waache wajidanganye kwa kuvunja vizimba.Hapa ni Mhongolo iliyopo Manispaa ya Kahama. Wananchi walijenga kizimba cha CHADEMA kikavunjwa, wakajenga tena Katibu Mkuu akakizindua nacho kimevunjwa tena.
Ni Aibu kwa CCM ya huyo wennu Samia.
Kizimba kinaandamana? Kinapiga kura? Kuua wanachama wa Chadema mumeona haitoshi?
View attachment 3591848
Kimejengwa kwenye hifadhi ya barabara kwa hiyo ni sahihi kabisa kubomolewa
Na wewe upo huko Kahama?Kimejengwa kwenye hifadhi ya barabara kwa hiyo ni sahihi kabisa kubomolewa