Kahama: CHADEMA yaunguruma, Moto wa Katiba mpya wasambaa kila mahali, Maelfu ya Wananchi Wafurika, viwanja vyazidiwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Bila kujali Mauaji ya Octoba 29, Wakazi wa Kahama wamefurika kuwasikiliza viongozi wa Chadema kwenye kampeni kabambe ya Katiba mpya na Free Lissu

Kama kawaida Mimi mtumishi wenu nitakuwepo kuwaletea uhondo

Usiondoke JF

View: https://www.youtube.com/watch?v=B1Ygb_BQNMc
FB_IMG_1779117622369.jpg
 
Bila kujali Mauaji ya Octoba 29, Wakazi wa Kahama wamefurika kuwasikiliza viongozi wa Chadema kwenye kampeni kabambe ya Katiba mpya na Free Lissu

Kama kawaida Mimi mtumishi wenu nitakuwepo kuwaletea uhondo

Usiondoke JF

View: https://www.youtube.com/watch?v=B1Ygb_BQNMcView attachment 3590727

Mubashara / live
18 May 2026
Kahama, Shinyanga
Tanzania

CHADEMA wamefungua operesheni yao leo Mei 18, 2026, Kahama Shinyanga

View: https://m.youtube.com/watch?v=v1PeVt4QbaE
walizungumza na wananchi na kugusa mambo makuu yafuatayo:
  • CHADEMS yasisitiza kuwa hawatanyamazishwa na vitisho na wataendelea kupaza sauti kuhusu changamoto halisi zinazowakabili wananchi, ikiwemo ubovu wa miundombinu na upatikanaji wa huduma za maji.
  • Muendelezo: Operesheni hii na mikutano ya hadhara inaendelea kama njia ya kuhamasisha wananchi kufuatilia mchakato wa Katiba Mpya na kudai haki za kisiasa
  • Hali ya Tundu Lissu: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche, alieleza kuwa viongozi walifanikiwa kumtembelea Mwenyekiti wao Tundu Lissu gerezani na kupokea taarifa kuwa anaumwa maumivu makali ya tumbo. Chama kilisisitiza kuwa kiongozi wao alichukuliwa akiwa na afya njema na kinamtaka atoke akiwa salama na mzima.
 
Asante sana
 
Back
Top Bottom