Kahama: Diamond atua kwa helikopter . Amwaga noti 'live'

Duhh....

Ila Wa TZ Tunapenda mzikiii.

show hili lipo konki
Afu Kuna mtu anasema vyuma vimekaza,u can't be xriac
Huo ni mziki wa vijana btw napenda mziki lakini xjawah penda live show na cwez kwenda
 
Sometimes ukijua unafanya nn na ukiacha kufanya kazi kwa mazoea,lazima utafanikiwa makampuni yanapenda kudhamini msanii anayeijua kujibrand na kujipromoti kwani wanajua wakidhamini show yake,yule msanii ataibeba na kuitangaza bidhaa yao na katika hili Mondi kafanikiwa na kampuni zina muamini show moja ina wadhamini watano wawili kati yao ni Pepsi na Precision air,hapo lazima msanii show yake itakuwa nzuri.

Ingawa watu mnamwita Diamond anapenda show off,hizo show off Ndizo zimempa wadhamini wakubwa kila siku Kuanzia Vodacom,Belaire,Cocacola,DSTV na leo Pepsi zote hizo ni brand kubwa Africa na duniani kwa ujumla.
 

Kweli kabisa, dogo anafanya vizuri kipita maelezo. Big up kwake. Afanye bidii kuwekeza azalishe chakula kwa wingi, anauwezo huo, aache kutupa fedha kwa watu sio fresh. Ila nampongeza kwa kazi nzuri, all the best to him and his team and his family as well.
 
Kugawa hela kwa wananchi kwa kuzirusha anamaanisha yeye anazo nyingi ata kumzidi MO au?
 
Anashow Kenya tar 8,ana show tatu Madagascar miji mitatu tofauti,ana show tatu One Africa ktk miji mitatu (London,Dubai,New York) na baada ya miezi michache ana show Malawi.
Haters watakuuliza "ati wewe ndio mama tifa"
 
Anashow Kenya tar 8,ana show tatu Madagascar miji mitatu tofauti,ana show tatu One Africa ktk miji mitatu (London,Dubai,New York) na baada ya miezi michache ana show Malawi.
Mkumbushe tu pia Ana show Germany mwezi December
 
Show za Nje Zimekata, Sasa Anaanza Kupiga za Ndondo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…