Opera Min
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 890
- 658
Mpaka muda huu Kwa show hii uliyofanya kwa kweli wana Kahama tumeridhika hata ukisema unafunga show sasa hivi tutakua tumekata kiu,baba unajua sana tuseme ukweli tu wanaokupambanisha na wasanii wa Tanzania wanakukosea sana heshima,wewe ni level ya kina MJ
bonge la show one man army
bonge la show one man army