Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,898
- 4,156
Sio geita ni kahama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo yupo GEITA.Kumbe yupo Geita?
Ndiyo hao Mafundi wa JF wamerekebisha tayari na Show tuiona live na sauti inatoka vizuri kwa sasa na mikwaruzo imeondolewa.kwaiyo jf ndio mafundi?
Sio GEITA YUKO KAHAMANdiyo yupo GEITA.
Leo yuko Kahama kesho Geita.Sio GEITA YUKO KAHAMA
WameshanipaKaulize kwa page ya wasafi IG ..watakupa jibu
Huyo Diamond atakuwa live on stage na huku asoma post Yako JF ili aweza fanyia kazi ushauri huu wako?.. maana ni yeye ume mu address as individual si WBC Wala Wasafi MediaHapa Niko kuangalia show Diamond Platnumz inarushwa Live kutoka Geita katika Chanel ya Wasafi TV lakini sauti inakwaruza haisikiki vizuri mikwaruzo mingi kabisa.
Diamond rekebisha sauti katika mic zako vinginevyo ovyo kabisa.
Je na ninyi mnavyoona uko You Tube vikoje?
Haya!!Huyo Diamond atakuwa live on stage na huku asoma post Yako JF ili aweza fanyia kazi ushauri huu wako?.. maana ni yeye ume mu address as individual si WBC Wala Wasafi Media
hiyo miundombinu hadi zimamoto ifike,,watakuwa wamekwisha teketea wote........Halafu nchi hii ilivyo ya ajabu utashangaa mpaka sasa zimamoto hawajafikawatu wanaendelea kuungua tu... Serikali ya CCM haina huruma kabisa na wananchi wake.
Acha tu jamaa wanamakusudi sana kwakweli.hiyo miundombinu hadi zimamoto ifike,,watakuwa wamekwisha teketea wote........
KUteketea kivip MkuuHalafu nchi hii ilivyo ya ajabu utashangaa mpaka sasa zimamoto hawajafika eneo la tukio watu wanaendelea kuteketea tu... Serikali ya CCM haina huruma kabisa na wananchi wake.
KUteketea kivip Mkuu