LGE2024 Kahama: Huu hapa ni Mkutano Mkuu wa Chadema Tawi la Mwime kura za maoni kuchagua Mgombea wa Uenyekiti wa Serikali za mitaa

LGE2024 Kahama: Huu hapa ni Mkutano Mkuu wa Chadema Tawi la Mwime kura za maoni kuchagua Mgombea wa Uenyekiti wa Serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kama bado unafikiria kwamba kuna Chama kitapita bila kupingwa basi unapaswa kutafakari Upya

Angalia Mkutano Mkuu wa kura za maoni wa Kijiji wa Chadema huko Kahama ili kumpata Mgombea wao Serikali za Mitaa

Screenshot_2024-10-25-12-04-25-2.png
Screenshot_2024-10-25-12-04-33-1.png
Screenshot_2024-10-25-12-04-46-1.png
 
Mbona wanawake watupu?
Halafu mtaa mzima ndio hao tu wanachama?
 
Hivi vyama vya upinzani vya kiafrika vina ujinga mwingi sana....Kuna ulazima gan wa kushiriki uchaguzi huku ukiwa unajua mchakato wa uchaguzi tayari una mapungufu???...Mara oooh majina yameongezwa feki ..Mara oooh watu wamelazimishwa kuandikishwa....yaaani pasua kichwa
 
YAANI WATU WANAHESABIKA KABSA UNAONA NI WENGI SANA HAO?YAANI MMEISHIWA KABISA CHADEMA YAANI HAPO HAIZIZIDI KAYA KUMI NA TANO TU CHAMA MFUUU
Cha kushangaza sasa! inakufa Chadema unalia wewe!
 
Hivi vyama vya upinzani vya kiafrika vina ujinga mwingi sana....Kuna ulazima gan wa kushiriki uchaguzi huku ukiwa unajua mchakato wa uchaguzi tayari una mapungufu???...Mara oooh majina yameongezwa feki ..Mara oooh watu wamelazimishwa kuandikishwa....yaaani pasua kichwa
Fisi haachiwi bucha
 
Back
Top Bottom