LGE2024 Kahama: Huu hapa ni Mkutano Mkuu wa Chadema Tawi la Mwime kura za maoni kuchagua Mgombea wa Uenyekiti wa Serikali za mitaa

LGE2024 Kahama: Huu hapa ni Mkutano Mkuu wa Chadema Tawi la Mwime kura za maoni kuchagua Mgombea wa Uenyekiti wa Serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kama bado unafikiria kwamba kuna Chama kitapita bila kupingwa basi unapaswa kutafakari Upya

Angalia Mkutano Mkuu wa kura za maoni wa Kijiji wa Chadema huko Kahama ili kumpata Mgombea wao Serikali za Mitaa

View attachment 3134782View attachment 3134783View attachment 3134784
Majigambo weka pembeni.

Sijasoma, lakini tafadhali wakati huu ni vitendo tu vinategemewa kuliko kitu kingine chochote.
Kinacho onekana wazi wazi, bila ya kificho chochote, ni jinsi CCM wanavyo jiandaa kufanya uhalifu mkubwa tokea kwenye hizi serikali za mitaa na kuendelea huko kwenye uchaguzi mkuu.

Maonyesho haya sina uhakika kama yanao uwezo wa kuzuia uharibifu mkubwa unao pangwa kufanywa na CCM.

Nimejiruhusu kuwa na mawazo hasi haya, kwa sababu nina hofu kubwa sana nikiiwaza Tanzania chini ya utawala wa 'Chura Kiziwi' kwa miaka mitano zaidi!
 
Back
Top Bottom