Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
HakikaPoa sana.
Sasa mbona unalia?Hamna kikubwa hapo, Chadema ilishazikwa mliobaki ni watapatapaji tu
Hebu jikite kwenye madaMbona wanawake watupu?
Halafu mtaa mzima ndio hao tu wanachama?
YAANI WATU WANAHESABIKA KABSA UNAONA NI WENGI SANA HAO?YAANI MMEISHIWA KABISA CHADEMA YAANI HAPO HAIZIZIDI KAYA KUMI NA TANO TU CHAMA MFUUUKama bado unafikiria kwamba kuna Chama kitapita bila kupingwa basi unapaswa kutafakari Upya
Angalia Mkutano Mkuu wa kura za maoni wa Kijiji wa Chadema huko Kahama ili kumpata Mgombea wao Serikali za Mitaa
View attachment 3134782View attachment 3134783View attachment 3134784
Wasindikizaji
Mungu Ibariki CHADEMAKama bado unafikiria kwamba kuna Chama kitapita bila kupingwa basi unapaswa kutafakari Upya
Angalia Mkutano Mkuu wa kura za maoni wa Kijiji wa Chadema huko Kahama ili kumpata Mgombea wao Serikali za Mitaa
View attachment 3134782View attachment 3134783View attachment 3134784
Cha kushangaza sasa! inakufa Chadema unalia wewe!YAANI WATU WANAHESABIKA KABSA UNAONA NI WENGI SANA HAO?YAANI MMEISHIWA KABISA CHADEMA YAANI HAPO HAIZIZIDI KAYA KUMI NA TANO TU CHAMA MFUUU
AmenMungu Ibariki CHADEMA
Freeman? 🐼Yah right. Mkwe MWENYE KIFUA KIPANA tayari ana hesabu zake.
Fisi haachiwi buchaHivi vyama vya upinzani vya kiafrika vina ujinga mwingi sana....Kuna ulazima gan wa kushiriki uchaguzi huku ukiwa unajua mchakato wa uchaguzi tayari una mapungufu???...Mara oooh majina yameongezwa feki ..Mara oooh watu wamelazimishwa kuandikishwa....yaaani pasua kichwa
Cc. Lucas mashambwaKama bado unafikiria kwamba kuna Chama kitapita bila kupingwa basi unapaswa kutafakari Upya
Angalia Mkutano Mkuu wa kura za maoni wa Kijiji wa Chadema huko Kahama ili kumpata Mgombea wao Serikali za Mitaa
View attachment 3134782View attachment 3134783View attachment 3134784
Haya ndio matamanio ya kila jizi la ccm.Hamna kikubwa hapo, Chadema ilishazikwa mliobaki ni watapatapaji tu
Kama Chadema imezikwa mngekuwa mnatumia bunduki na mabomu kupambana nayo? CCM bila ya mbeleko ya vyombo vya dola ni kama TLP tu.Hamna kikubwa hapo, Chadema ilishazikwa mliobaki ni watapatapaji tu