Kahama JF wing nipo mjini kwenu tayari

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Wasukuma walinigwaya pamoja na kunikaribisha kwa ukarimu mkubwa[emoji1545].. Nadhani tatizo lilikuwa ni lile fuko la tunguli nililo share picha zake kwenye ile post [emoji1787]
Fuko lilifika salama Shinyanga Gamboshi kilingeni kabisa na nililala huko[emoji2827].. Leo mida ya mchana nikaanza mwendo na sasa nimetuamo mjini penu.. Naomba mnikaribishe[emoji1545]
 
Upo sehemu Gani ?
 
Karibu mkuu hapa the Magic 101
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…