Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Pastor Elij Daniel amekamatwa tangu jana baada ya kutofahamika alipo na kutorudi nyumbani.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana, baada ya kufuatilia mahali alipo, imebainika kuwa Pastor Elij Daniel yupo katika Kituo cha Polisi Kahama.
Taarifa zinaeleza kuwa uwepo wake katika kituo hicho umethibitishwa, huku akiandikishwa kwa jina la Eliji Daniel, mchungaji.
Hata hivyo, sababu za kukamatwa kwake na mazingira ya tukio hilo bado hazijawekwa wazi.
Pastor Elij Daniel amekamatwa tokea jana baada ya kutambua ya kwamba hajulikani aliko hakurudi nyumbani baada ya kuendelea kufuatilia eh kwa taarifa tulizozipata yuko kituo cha polisi pale Kahama...".
tumedhibitishiwa kwamba yupo pale ameandikisha kwa jina la Eliji Daniel mchungaji"
...hii inaonyesha wazi kabisa kwamba utawala huu hautaki wasema kweli Watu wanaopinga dhuluma wanaokemea mabaya hautaki kabisa". "...wote walioko madarakani watawala eh wamejipambanua kwamba wenyewe hawakosei kabisa".
"Hii nchi haitaki watu wawe na uhuru wa kujieleza wa kutoa maoni Ukitoa maoni ambayo huenda yanaenda kinyume na wao basi ujue cha moto utakipata..."