MWAKATA KWETU
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 562
- 319
Nimeshuhudia mbunge wa kahama mjini Mh.Jumanne Kibela Nkandi Kishimba akilaumu watendaji wa halimashauri ya mji wa kahama haswa engeneer kupitisha barabara hewa....ambazo zingine zilishatengenezwa zamani ba kuziandikia ni mpya...hivyo tunaomba wahusika wafatilie swala hili .