DOKEZO Kahama ni inasifika kimapato ila maendeleo ya mapato ni kama yapo shinyanga

DOKEZO Kahama ni inasifika kimapato ila maendeleo ya mapato ni kama yapo shinyanga

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
wilaya ya kahama kuwa na vyanzo vya mapato na madini lakini kama naona makao makuu ya mkoa yana lazimisha shinyanga kuwa yenye kila kitu kizuri kuanzia barabara za ndani mataa ya barabara wakati kumejaa baiskeli nyingi.

Kwa nini kahama ilikataliwa kuwa mkoa au kupewa hadhi ambayo bila magufuri basi kuwa manispaa shinyanga ilitaka kuwa sehemu ya mapato yake.

Makao ya shinyanga hakuna vyanzo vya mapato tuseme ukweli tokea kufa kwa reli ikizidi sana na mgodi wa almasi ambao mpaka leo faida yake ijawai kuwa msaada wa tanzania na shinyanga yenyewe na sehemu nyingi ndani mkoa huu kubadilika.

Kahama kila kukicha wawekezaji na watu mbalimbali wameingia kahama kwa wingi kupata fursa ila miundo mbinu ni kama imepelekwa shinyanga sana.
 
Back
Top Bottom