Kahama the upcoming city

Kahama the upcoming city

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Wandugu sina mengi.

Straight to the point, this weekend nilikuwa Kahama.

Siweki picha wala video lakini ukweli wanaujua waliowahi kufika Kahama.

Hii manispaa ndio jiji tarajiwa hivi karibuni. Hakuna ubishi.

Rai yangu kwa mipango miji na Halmashauri Kahama wadhibiti ujenzi holela unaoendelea maeneo kama Dodoma viwandani.

Kahama ni mootoo
 
Sina ubishi juu ya hilo kiuhalisia ni kwamba kanda ya ziwa miji yao mingi imechangamka mfano Katoro.
Point noted. Kanda ya Ziwa Ina miji mingi kinoma lakini haijapewa hadhi ya hata mji tu. Mathalani Katoro Ina wakazi wapatao 300,000 lakini bado haijapewa hadhi ya hata Mji.

Mji wa Geita una wakazi 360,000 na bado haujapewa hadhi ya Manispaa wakati kwa idadi hiyo ni Manispaa ya Morogoro (471,000) na Kahama (460,000) zenye wakazi wengi kuzidi Geita na Katoro.

Manispaa nyingine 13 nchini zinasubiri kwa Geita na Katoro ukitoa Manispaa za Majiji (Kinondoni, Temeke na Ilemela.

Itafahamika.
 
Wandugu sina mengi.

Straight to the point, this weekend nilikuwa Kahama.

Siweki picha wala video lakini ukweli wanaujua waliowahi kufika Kahama.

Hii manispaa ndio jiji tarajiwa hivi karibuni. Hakuna ubishi.

Rai yangu kwa mipango miji na Halmashauri Kahama wadhibiti ujenzi holela unaoendelea maeneo kama Dodoma viwandani.

Kahama ni mootoo
Kwa kipi labda?, hata kuwa Manispaa Kahama imewahishwa sana, Kahama ni kasehemu kadogo kenye mlundikano wa watu, hakuna mipango miji, miundombinu nk,
 
Kwa kipi labda?, hata kuwa Manispaa Kahama imewahishwa sana, Kahama ni kasehemu kadogo kenye mlundikano wa watu, hakuna mipango miji, miundombinu nk,
Pale Kahama hata daladala hakuna. Ni mwendo wa bodaboda, bajaji na taxi zipo za kuhesabu sana. Mpangilio mbovu wa mji, wakati wa kiangazi kuna vumbi la kutisha na uchafu kila mahali. Ila kuna mzunguko mkubwa wa pesa.
 
Wandugu sina mengi.

Straight to the point, this weekend nilikuwa Kahama.

Siweki picha wala video lakini ukweli wanaujua waliowahi kufika Kahama.

Hii manispaa ndio jiji tarajiwa hivi karibuni. Hakuna ubishi.

Rai yangu kwa mipango miji na Halmashauri Kahama wadhibiti ujenzi holela unaoendelea maeneo kama Dodoma viwandani.

Kahama ni mootoo
Pamoja na changamoto za miundombinu hususani barabara, Huduma za kiafya (panahitaji hospitali ya kisasa though Gov inajitahidi) lakini kwa upande wangu Kahama ni sehemu moja makini sana kuanzia upande wa Usalama, biashara nk,
Usafiri unapatikana 24/7 kutoka na kuingia (mradi uwe flexible) chakula kimapatikana kwa wingi, viwanja bei nafuu + gharama za ujenzi si mbaya sana (kwa common person), wenyeji wakarimu na waaminifu nikilinganisha na baadhi ya maeneo niliyowahi kuwepo ie Bariadi, pia mazingira ya biashara si haba.

"Go east go west Kahama is the best."
 
Wachaga wanapitwa tena na Ki Moshi chao, kahama saafi
 
tunamuomba Mzee Kikwete asaidie pale chalinze pawe na mipango miji, ni aibu palivyo
 
Yaani Kahama iwe jiji kabla ya Mafinga? Zitakuwa ndoto za mchana
Kuna baadhi ya ya miji ya Tanzania almost inaendana tu mfano kahama na makambako hizi ni centre za biashara kutokana na position zilipo vimiji vingi vinavyo izunguka miji hii hutegemea hapo ndo maana imechangamka Sana na inakuwa Sana kutokana na shughuli za kibiashara hapa ni serikali kuanzisha majiji ya kibiashara hii itasaidia Sana kuinua maeneo hayo ndo maana hata serikali imeplan kuweka bandari kavu maeneo haya kutokana na ukuaji wake na kutegemewa zaidi na maeneo ya jilan yenye uzalishaji mkubwa wa mazao ya kilimo Hata makampuni mengi tayar yameshaona fursa kwenye centre hizo pia hata serikali imeanza kusogeza baadhi ya huduma licha ya miji hii kuwa si makao makuu ya mikoa ila position ilipo inaibeba ndo maana inakuwa kwa kasi
2018-01-31-1200x675.jpg
FB_IMG_16727495359454879.jpg
FB_IMG_16728517915595809.jpg
1697767909492.jpg
 
Back
Top Bottom