Kahama the upcoming city

Kahama the upcoming city

Yaani Kahama iwe jiji kabla ya Mafinga? Zitakuwa ndoto za mchana
Hii miji Ina fahamika vizuri mno ukuaji wa mafinga haiwezi kuikuta kahama kwa Nini haiwezi mafinga mji unakuwa upande mmoja upande mwingine umeathiriwa na jeshi na msitu wa Sao hill na bado mafinga inaathiriwa na ujirani wa miji ya iringa na makambako mfano ukiangalia saizi ukitoka iringa mjini hadi ifunda tayar kunashamiri makazi na wanategemea huduma iringa bado ukanda ilula wanategemea iringa , ukija nyororo ,igowole hadi makambako nako wategemea huduma makambako hadi mbarali huduma nyingi wanategemea makambako ko haya maeneo lazima yatakuwa zaidi wakati mafinga maeneo wanayo yategemea ni Jimbo la mufindi kaskazini na madibila na hata ukiangalia utaona jinsi Gani iringa inavyowaathir tayari wameweka daladala za kutosha za stend kuu iringa to mafinga ko hapo ujue iringa imejipanga kuwa jiji HiYo ishu ni sawa ilivyo mkoa wa songwe na njombe na shinyanga ila mafinga iringa tayari imewazidi ujanja hamna namna
 
Mafinga inategemewa na sehemu nyingi sana ikiwemo baadhi ya sehemu za iringa mjini. Unajua kuna baadhi ya bidhaa iringa mjini ni bei ghari kuliko mafinga? Jibu ni ndyo,kwanini?

Ni kwasababu vitu au bidhaa nyingi hasa amabzo hutakiwa kusafirishwa kwa treni kutoka bandarini kwenda mikoa ya iringa,njombe na ruvuma mizigo hyo hushushiwa makambako ndipo isafirishwe kwa magari kutoka makambako hadi iringa.

kwa sasahivi mafinga imeunganishwa na barabara ya morogoro kupitia mufindi kaskazini ambapo barabar hyo inaingilia kinyanambo c-ugesa-usokami-mapanda-kisusa mpaka mlimba. Kwahyo mtu badala aende morogoro sasaivi anakuja mafinga kufuata huduma mbalimbali
 
Ukitaka kujua ninachoongea nenda stend ya zaman iringa kaangalie gari idadi ya gari za vijiji zilivyo nyingi alafu uje ulinganishe na mafinga alafu kuhusu MLIMBA kumbuka tayar Kuna treni linatoka ifakara ,MLIMBA kwenda makambako kwaajili ya Kununua bidhaa na wamewawekea na mabehewa kwaajili ya mizigo siku mbili kwa wiki alhamis na jpili bado Kuna gari zinatoka makambako na njombe zinaenda MLIMBA kupitia lupembe ko impact bado ndogo we angalia ukuaji wa mji wa iringa na mafinga ndo utajua nacho kwambia mafinga wameifinya inaenda upande mmoja kwenda sadan mafinga ipo moto kwenye viwanda vya product za misitu ingawa tayar wachina hao hao wengine wameanza kuhamia mtwango makambako saiz wamefungua nako viwanda vya kutosha hii ni kutokana na Kodi kutofautiana kati ya mkoa wa njombe na iringa Kodi mkoa njombe zpo chini
 
Nyanda za juu kusini kupo Moto Sana kimaendeleo
 
Kahama gani unayozumgumzia,Kama ni Kahama ya Shinyanga dado sanaiundo mbinu ka Barabara za mitaa inazidiwa na Ngara,Bijaramulo na Karagwe,

Kaha hakuna stendi Wala soko.
 
Stendi ya vumbi sio hadhi ya kahama nzega wanajenga stend nzuri kahama wanafeli wapi
Si unajua siasa za bongo, baraza la madiwani( wengi darasa la saba) ndio hukwamisha mambo

Kingine ni Sifa za kijinga za kujisifu mnachangia mapato makubwa serikalini huku ninyi hamfanyi maendeleo
 
Kahama gani unayozumgumzia,Kama ni Kahama ya Shinyanga dado sanaiundo mbinu ka Barabara za mitaa inazidiwa na Ngara,Bijaramulo na Karagwe,

Kaha hakuna stendi Wala soko.
Ishu ya miundo mbinu Kuna baadhi ya miji ilivosikia Kuna mradi wa tactics wa miji 45 ilikula pozi bila ya kujiongeza ila Kuna miji imejiongeza Sana hususa ujenzi wa Barabara za lami mitaani tayar Wana mtandao wa kutosha Yan CBD zao full lami ko mradi wa tactics wata connect na kata za pembezoni mfano Kuna mji wa makambako huu saiz una zaidi ya km 20 za lami centre ,mafinga hii miji haijawai kuwa kwenye mradi wowote ndo mara ya kwanza kuingia TACTIS nenda saiz kaangalie lami wanavyo sambaza Kuna baadhi ya manispaa wamezipita licha ya kuwa kwenye mradi wa mara ya kwanza uboreshaji wa miji ni akili tu za madiwan jinsi gan Wana watumia TARURA
 
1700445069017.jpg
 
Ishu kubwa ambayo inaweza kuja kuifanya majiji ya biashara hususa miji ya kahama ,makambako na tunduma ni kuendelea kuboresha miundombinu hasa Barabara ,masoko ,viwanda na bandari kavu hii miji Ina advantage kubwa kutokana na geographical position ilipo na miundombinu rafiki kibiashara Cha msingi ni mikoa husika kutoa ushirikiano kama mkoa wa pwan unavoandaa jiji la biashara kwala
 
Hii miji kulingana na jiografia yake ilipo inaendana na itakuwa sana
IMG-20231124-WA0135.jpg
 
Jengeni hoja wananchi kupitia mwakilishi wenu andikeni proposal pelekeni kwenye makampuni ya wachimba madini wawafanyie kupitia SCR.

Wananchi ibueni miradi kama vile kutaka kujengewa masoko, zahanati mitaani, vituo vya afya kila kata, hospitali, mipango miji, huduma za Maji safi na taka, vituo vya mabasi n.k.
 
Back
Top Bottom