Na wewe bhana utalinganishaje mji hata hadhi ya manispaa hauna? Ficha aibu ndogo ndogo. Hivi ukifika hata Kijiji cha Katoro kweli utaikumbuka hata Mafinga?Yaani kahama iwe jiji kabla ya mafinga? Zitakuwa ndoto za mchana
Point noted. Kanda ya Ziwa Ina miji mingi kinoma lakini haijapewa hadhi ya hata mji tu. Mathalani Katoro Ina wakazi wapatao 300,000 lakini bado haijapewa hadhi ya hata Mji.Sina ubishi juu ya hilo kiuhalisia ni kwamba kanda ya ziwa miji yao mingi imechangamka mfano Katoro.
Kwa kipi labda?, hata kuwa Manispaa Kahama imewahishwa sana, Kahama ni kasehemu kadogo kenye mlundikano wa watu, hakuna mipango miji, miundombinu nk,Wandugu sina mengi.
Straight to the point, this weekend nilikuwa Kahama.
Siweki picha wala video lakini ukweli wanaujua waliowahi kufika Kahama.
Hii manispaa ndio jiji tarajiwa hivi karibuni. Hakuna ubishi.
Rai yangu kwa mipango miji na Halmashauri Kahama wadhibiti ujenzi holela unaoendelea maeneo kama Dodoma viwandani.
Kahama ni mootoo
Mafinga unapajua?Na wewe bhana utalinganishaje mji hata hadhi ya manispaa hauna? Ficha aibu ndogo ndogo. Hivi ukifika hata Kijiji cha Katoro kweli utaikumbuka hata Mafinga?
Pale Kahama hata daladala hakuna. Ni mwendo wa bodaboda, bajaji na taxi zipo za kuhesabu sana. Mpangilio mbovu wa mji, wakati wa kiangazi kuna vumbi la kutisha na uchafu kila mahali. Ila kuna mzunguko mkubwa wa pesa.Kwa kipi labda?, hata kuwa Manispaa Kahama imewahishwa sana, Kahama ni kasehemu kadogo kenye mlundikano wa watu, hakuna mipango miji, miundombinu nk,
Hilo neno maana yake ni nini mkuuKahama kuna madigara hatari.
Akikujibu nitag Mkuu.Hilo neno maana yake ni nini mkuu
Pamoja na changamoto za miundombinu hususani barabara, Huduma za kiafya (panahitaji hospitali ya kisasa though Gov inajitahidi) lakini kwa upande wangu Kahama ni sehemu moja makini sana kuanzia upande wa Usalama, biashara nk,Wandugu sina mengi.
Straight to the point, this weekend nilikuwa Kahama.
Siweki picha wala video lakini ukweli wanaujua waliowahi kufika Kahama.
Hii manispaa ndio jiji tarajiwa hivi karibuni. Hakuna ubishi.
Rai yangu kwa mipango miji na Halmashauri Kahama wadhibiti ujenzi holela unaoendelea maeneo kama Dodoma viwandani.
Kahama ni mootoo
Na The Icebreaker aipateHilo neno maana yake ni nini mkuu
Nimekusoma Mkuu,Na The Icebreaker aipate
Digala ni jitu flani lina hela kinyama, li taita fulani. Mara nyingi (na rasmi) haya majamaa yananunuaga dhahabu. Ma doni ndo hayo
Kuna baadhi ya ya miji ya Tanzania almost inaendana tu mfano kahama na makambako hizi ni centre za biashara kutokana na position zilipo vimiji vingi vinavyo izunguka miji hii hutegemea hapo ndo maana imechangamka Sana na inakuwa Sana kutokana na shughuli za kibiashara hapa ni serikali kuanzisha majiji ya kibiashara hii itasaidia Sana kuinua maeneo hayo ndo maana hata serikali imeplan kuweka bandari kavu maeneo haya kutokana na ukuaji wake na kutegemewa zaidi na maeneo ya jilan yenye uzalishaji mkubwa wa mazao ya kilimo Hata makampuni mengi tayar yameshaona fursa kwenye centre hizo pia hata serikali imeanza kusogeza baadhi ya huduma licha ya miji hii kuwa si makao makuu ya mikoa ila position ilipo inaibeba ndo maana inakuwa kwa kasiYaani Kahama iwe jiji kabla ya Mafinga? Zitakuwa ndoto za mchana