Mgambilwa 04
Member
- Oct 19, 2023
- 25
- 43
- Thread starter
- #21
True, ukichukua Kata zote zinazounda Centre ya Katoro, unakuta kuwa Mji huo una wakazi 300,000 na unashika namba 13 nchini kwa Miji mikubwa tena bila kujumlisha Centre ya Bwanga ambayo endapo Katoro ikipewa hadhi ya Mji inaweza kuimeza Bwanga kama ambavyo Geita imemeza Kasamwa.Mji wa Katoro (kata za katoro, ludete na nyamigota) una watu wengi kuliko manispaa za bukoba na shinyanga.
Mji wa buseresere(kata za buseresere na butengorumasa) una watu karibu na manispaa ya bukoba.
Endapo Bwanga itaunganishwa kwa Katoro, basi Katoro itakuwa na idadi kubwa ya watu kuliko hata Mji wa Geita kwani utakuwa na wakazi 390,000 (Bwanga - 69,000 na Minkoto - 17,000).
Na hapo hauna hata Hadhi ya Mji.