Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Na hapo ndipo watu wanashindwa kutofautisha... Kahama ni self made.. ha wengine ni miradi ya serikali kuu.
Wapi ambako Serikali imejengea Wana Njombe magorofa? Magorofa yote ya Njombe ulijenga wewe na Serikali yako au?

Serikali itajenga miradi wanayohusika nayo sasa sijui mnaongea utopolo gani nyie
 
Wakati Masasi ikiwa na watu 100000, korogwe 60000 na NJOMBE 120000, tunduma 150000 ...kahama ilikuwa na watu 240000... Na hiyo ni almost miaka 10 iliyopita imagine... Ukuaji wa khm ya these past 10 years ...
Idadi ya watu mtaongoza milele sambamba na umaskini lakini quality of life mtasalia mkiani daima
 
Mimi ni dereva wa DFP mzee na mkaazi wa Mwanza,hakuna penye sijui nchi hii..narudia,ukiondoa wilaya zilizopo kwenye majiji hakuna kama KAHAMA hapa nchini
Kwamba kuwa kwako kwenye DFP ndo kunakufanya ujue miji peke yako? Acha uongo ndugu. Miji mingi Tanzania ina tabia zinazofanana, huu unaweza kuwa na hiki ukakosa kile nk.
 
Wapi ambako hakuna nguvu ya serikali? Itaje hiyo miradi ambayo kwingineko hakuna nguvu ya serikali
Ujenzi wa Soko na stand NJOMBE ni Mradi wa ULGSP kupitia serikali kuu. Kama ilivyokuwa kwa Msamvu, Na Korogwe Bus Terminal.. pia kwa makao makuu mapya ya mikoa kama Bariadi, Geita na Njombe ... Kw dsm kuna miradi mingi inatekelezwa kupitia mradi wa DMDP

Kusema sio serikali ni kumaanisha miradi.inaendeshwa kwa fedha za makusanyo ya ndani ya halmashauri husika.. mfano kahama kuna Sehemu ya soko la mama lishe Majengo, soko kuu la majengo, Ujenzi wa Majengo mapya ya Hospitali ya Wilaya, Upanuzi wa kituo cha afya vya ngaya, ujenzi wa makao makuu ya halmashauri ya mji (Now manispaa) vyote hivi ni kwa makusanyo ya ndani ya mji husika.. ukitoa milioni 500 raisi alizoahidi juzi.
 
Wapi ambako Serikali imejengea Wana Njombe magorofa? Magorofa yote ya Njombe ulijenga wewe na Serikali yako au?

Serikali itajenga miradi wanayohusika nayo sasa sijui mnaongea utopolo gani nyie
Hivi huwa unaongelea magorofa yapi hayo.ya NJOMBE ambayo kahama hayapo!?
 
Nimefika njombe hamna kitu pale
Onyesha Hotel kama hizi Kijiji kizima cha Kahama
Hillside-View.jpg
137466675.jpg
getlstd-property-photo-1.jpg
2207190000017ua91B247_R_550_412_R5_Q70_D.jpg
56fab5ab_b.jpg
information_items_1618931.jpg
fm-hotel-2.jpg
 
Ujenzi wa Soko na stand NJOMBE ni Mradi wa ULGSP kupitia serikali kuu. Kama ilivyokuwa kwa Msamvu, Na Korogwe Bus Terminal.. pia kwa makao makuu mapya ya mikoa kama Bariadi, Geita na Njombe ... Kw dsm kuna miradi mingi inatekelezwa kupitia mradi wa DMDP

Kusema sio serikali ni kumaanisha miradi.inaendeshwa kwa fedha za makusanyo ya ndani ya halmashauri husika.. mfano kahama kuna Sehemu ya soko la mama lishe Majengo, soko kuu la majengo, Ujenzi wa Majengo mapya ya Hospitali ya Wilaya, Upanuzi wa kituo cha afya vya ngaya, ujenzi wa makao makuu ya halmashauri ya mji (Now manispaa) vyote hivi ni kwa makusanyo ya ndani ya mji husika.. ukitoa milioni 500 raisi alizoahidi juzi.
Ko hiyo sio Serikali? Nikajua ni private sector

By the way kila Mji una vipaombele vyake kwa mfano hakuna maana kutumia pesa za kusanyo kujenga miradi ambayo serikali kuu lazima ijenge kulingana na hadhi ya Mji kuwa makao makuu ya mkoa,mapato ya ndani yanafanya miradi mingine mingi tuu ikiwa ni pamoja na kujenga vituo vya afya,shule,barabara nk nk

Unadhani bln 4 kwa mwaka zinaliwa tuu au?
 
Bilioni nne na serikali kuu inatoa wapi makusanyo... Unahisi NJOMBE inakusanya bilioni nne ndizo zinaendesha mji!? 🙂
 
Back
Top Bottom