Kahama VS Njombe/Mafinga

In short nothing special about Njombe mkuu
Jenga Hoja zako kwa kuweka ushahidi wa picha za mji wa Kahama na wanaotetea Njombe nao waweke zao

Tuanze na
1.Bus terminal Njombe vs Kahama
2.Soko kuu Njombe vs Kahama
3.Hospitali Njombe vs Kahama
4.Viwanda Njombe vs Kahama
5.Hotels za Njombe vs Kahama
6.Mandhari ya Mji Njombe vs Kahama
7.Shughuli kubwa za Kiuchumi mashamba na Migodi Njombe vs Kahama
8.Mabenki Njombe vs Kahama
9.Majengo muhimu Halmashauri,Makanisa Njombe Vs Kahama
10..
11....
 
Airport gani inayojengwa mwanza?
 
Sasa mimi nazungumzia maendeleo wewe unaleta pumba za ooh wafupi ooh weusi kwani umelazimishwa kuoa? Umewahi kuona hawaolewi kisa weusi? Kumbe umesema wanaoana wao kwa wao na wewe oana na wakwenu shida iko wapi?
Kwa mawazo hayo sishangai mnaongoza kwa kunuka umaskini ,sasa ukiwa mrefu mwili jumba afu maskini wa akili na mali inakusudia nini zaidi ya kuwa mtumwa na manamba kwa mimi mfupi mwenye akili?
Zaidi ya uchuuzi wa kwenye migodi kuna nini kingine mnacho huko Khm? Rais mwenyewe aliappreciate maendeleo yetu kwanza ukitoka Makambako kwenda Njombe Songea utafikiri uko Vancouver Canada,mashamba makubwa ya kisasa ya miti,mahindi,viazi,chai,matunda nk huku tunatumia umwagiliaji wa kisasa wa sprinklers drop irrigation nk afu poyoyo Kama wewe unaleta hadithi hapa.mtasugua sana vumbi nyie
 
Kongole za kutosha mkuu kwa kumpa huyo jamaa ukweli.Tumadini wanatolingia soon tunaenda kuisha wakati sisi tunazidi kufungua fursa madini ya chuma na makaa yako mbioni kuanza kuzalishwa,Hydro dams 3 za umeme mbioni kujengwa,magorofa na mataasisi mengi ya serikali na sekta binafsi bila kusahau airport ya Njombe vyote vinajengwa si ujajua tena nyumbani kunogile na pesa tunayo
Sasa huko Kahama ambako wanategemea uchuuzi wa watu wa mikoa ya jirani biashara zitapukitika kadiri maeneo tajwa yanapata barabara nzuri
 
Unaijua Kahama lakini au unaongea kwa hisia?
Jamaa amekueleza fact
Mji unazungukwa na migodi mingi midogo ukiachilia hiyo buzwagi na bulyanhulu..
Mji huu ndio kiunganishi cha nchi Jirani za Uganda, Rwanda, Burundi, Congo na ukitaka enda Sudan kusini.
Tizama takwimu za pato la taifa kiwilaya uikute njombe ambayo ni mkoa linganisha na wilaya ya Kahama then ulete jibu.
Kwa Kilimo njombe iko vema ila kwa biashara kubwa Kahama ni next level.
Ninalima njombe naishi Kahama hivyo naongea ninachojua.
 
Jidanganye kuwa Kahama ni slums, unless unaongelea hisia na sio uhalisia..
Ko mzee baba ulitaka kama ni ukweli miji ya Tzn haijangika na ukuaji wake ni wa ki slums slums niseme Google ya mzungu haitambui wakati kila mtu anaona [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Unapenda ligi sio fact..
Umesoma hizo points hapo juu au unajifariji wakati unajua yajayo kwa Kahama yanahuzunisha.
Usifananishe nchi ya ahadi(Njombe) iliko bustani ya Eden(kitulo) na vitu vya kijinga kijinga walikojaa maskini
 
Ila kufananisha wilaya na mkoa sijui kigezo gani umechukua...
Kahama ni wilaya inayozidi mikoa mingi ya Tanzania ikiwemo huo njombe, ingefaa ipewe hadhi ya mkoa kabisa ila ndio hofu kuwa Shinyanga itapotezwa
 
Una maanisha nini ardhi ya njombe INA thamani kuliko ya Kahama?
Umelinganisha bei ya ardhi au ubora wa hali ya hewa?
 
Mambo ya migodi sio sustainable na Wala sio ya kutegemea ndani ya miaka 5 hadi 10 ijayo hakuna madini hapo zaidi ya mashimo mjiandae kupasuka
Mambo ya kuwa kiunganishi ni kwa sababu maeneo uliyoyataja bado yana miundombinu duni ya kufikika moja kwa moja hivyo kufanya Kahama kuwa senta for the time being lakini kadiri miundombinu inavyoimarika hiyo nafasi itaisha maana hata Tunduma ina play the same role lakini yote sio miji mikubwa kama moshi au Morogoro au mtwara
Mwisho wewe unadhani nani ana bright future kati ya Kahama mji na Njombe mji ikizingatiwa pipeline ya miradi iliyoko?
So far Njombe ina viwanda vingi kuliko Kahama na nimekutajia orodha ya projects zilizoko mbioni kujengwa wakati kwa Kahama zaidi ya barabara ya Geita Kahama Ulyankulu kaliua mpanda hakuna mradi mwingine zaidi ya huo
 
Ila kufananisha wilaya na mkoa sijui kigezo gani umechukua...
Kahama ni wilaya inayozidi mikoa mingi ya Tanzania ikiwemo huo njombe, ingefaa ipewe hadhi ya mkoa kabisa ila ndio hofu kuwa Shinyanga itapotezwa
Mada yangu inalinganisha miji na fursa zinazozunguka
No way Kahama itakuwa mkoa maana sioni jiografia itakayoibeba labda wachukue wilaya za Tabora sasa sijui Kahama ikitoka Shinyanga itabaki na wilaya gani kuwa mkoa
 
Asilimia kubwa ya hivyo ulivitaja viko njombe mkoa kuliko Kahama wilaya, ila banks Kahama ni nyingi zaidi
Kumbuka miundombinu mingi ya serikali hujengwa kwa status ya mji hivyo wilaya na mkoa haviwezi lingana kwa hizo administrative infrastructures.
Ila kibiashara na mzunguko mkubwa wa pesa Kahama is among three leading districts katika pato la taifa...
Hawa nyumbu wa kisukuma wana ukwasi wa madini na biashara, mji ya Kahama gharama za maisha ziko juu kama jiji vile na wakazi wafanyabiashara wengi wa mji ni mixer watz na mataifa Jirani..
All in all kwa future ya kilimo njombe is the best place to invest.
 
Shule/vyuo Njombe vs Kahama
Aisee ukija kwa vigezo hivyo Kahama labda itaongoza kwa gesti na wingi wa watu ambao ni maskini tuu 🀭🀭🀭🀭
 

Uzuri wa hii mada ni kuchukua tu fursa wanazozisema. Ukifuatillia ligi ni kama kila mtu anavutia kwake. Niliuliza kuhusu ukuaji wa njombe unaosemwa humu maana all the facts zilikuwepo muda mrefu na labda cha tofauti ni kwa huu mji kufanywa mkoa kamili kutokea Iringa. Nikaacha wafu wazikane
 
Sawa labda for the time being,how about future? Maana hiyo miundombinu ya kiserikali inakuja na pesa mjini kumbuka Dom city inavyogaragaza Mwanza,Mbeya,Arusha etc kimapato lakini miaka 3 iliyopita ilikuwa hoi,ndivyo itakavyokuwa kwa Njombe na Kahama kuwa mpole miundombinu isimame afu ujue wakinga wamerudi kujenga kwao mzee baba so ni ishu ya mda tu na tuombe uzima tukutane 2025
 

jombaa unaipenda dom city πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nakumbuka kuna thread Kenya forum ulinitolea povu... There is NOTHING special about it. Dodoma ni serikali na vyuo na hii move ya serikali kwa sasa iliyo serious kiasi ndio inapafanya pawe palivyo yaani naifananisha na ule muhemko wa Gas city. Dom imeendelea kulinganisha na enzi hizo na the fact kuwa ipo planned .possibly ndio itakuja kuwa the most modern city in Tz kama mipango itaenda sawa

Mwanza ni mji unaokua kwa nguvu zake kwa kiasi kikubwa..yaani ni force ya watu wenyewe kuhamia kwa hiyari yao kutokana na potential ya eneo lenyewe.. Brother Airport ya mwanza ikikamilika, daraja na usafiri wa ziwa victoria ukarudi kama zamani hata bila SGR. Mwanza itarudi katika position yake.
 
Miji mingi duniani imeporomoka baada ya madini kuisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…