Kahama VS Njombe/Mafinga

safi sana sana, boss unajibu kwa fact, kahama haifananii na mapato wanayotoa pako ovyo
Kwa anaeijua kahama,hawezi kuwa mbishi ,hata uzi huu usingekuwa na ubishani wa kitoto kwa kiasi hiki,Miundo mbinu Kahama ni ZERO,niambieni nikipi kipo kahama kitabaki kuwa kumbukumbu ya Mgodi?_hata Hospital ya wilaya ni kama Zahanati,ukienda Geita,ndo majanga kabisa,Geita inamgodi wa Dhahabu ni wa tatu kwa ukubwa na uzalishaji,ukiacha Afrika kusini na Angola,lakini zote kahama na mwwenzie Geita zimejaa Bar na nyumba za wageni,sitendi zimejaa vumbi tupu,viongozi wa maeneo hayo hawaoni hata aibu..
 
Pole hujui kitu Mbeya kuna apples,furis,strawberry? Njombe Kuna mpunga? Wewe tulia barabara ikamilike ndio uje kuuliza maana inapita maeneo yenye mandhari kama mbele yaani utalii utanoga sana

Ha ha ha ha ha mzee hilo jina la FURIS sidhani kama nila kiswahili ingawa hata mm sijui kiswahili chake ila kwa kilugha cha wenzetu hayo mafuris ndio PEACHES.
 
Pumzika kidogo tucheze Ngapulila yetu wakati tukisubiri warudi nahisi wamefuata ng'ombe machungoni ngoja wafungie bandani then waje
 
Ngoja waje watuletee vitega uchumi vyao maana njombe tayari tumeviona
 
Those are not conducive liveable towns ni maeneo ya kuchuma na kusepa ndio maana hukuti uwekezaji wa maana coz investors wanajua kwamba siku mashimo yakizingua kutema watapata lifetime losses so wako skeptical sana
Eti mmja anasema kwa nini isiwe mkoa yaani uweke taasisi nyeti za serikali kwenye machimbo hilo halipo itabakia hivyo hivyo
Chunya kuna migodi kama Kahama lakini miundombinu ya chunya iko vizuri kuliko Kahama hata mji unakua na watu wanajenga magorofa sana tuu kwa vile machimbo yako mbali na mji wakichimba wanakuja kuuza mjini tofauti na Kahama mashimo hadi mjini nani aishi huko kwa manamba
 
Hiyo barabara ya Makambako Njombe Songea nilisikia bungeni inaanza kufanyiwa rehabilitation Kama hiyo ya TANZAM sijui wameanza au bado? Wataipanua na kuijenga upya itanoga sana
Bado walipiga tu x nyumba za kuvunja, naona nguvu nyingi walielekeza kwenye miradi ya road za ludewa, makete na hii ya iringa to mbeya pia mradi mpya wa umeme gridi ya maka to songea
 

Unafikiri ni Kwanini Hizo mission hazijajenga huko Shinyanga au sijui wapi, au unadhani vikiwa vya dini inamaanisha ni Malaika walishuka wakajenga? Hizi akili za migodini jamani[emoji2][emoji2]
Kwani huko hakuna hizo dini? Au nyie huko hamuhitaji Vyuo?
Iringa ni Miongoni mwa mikoa minne Tajiri Tz, (fact)
Kuwa na madini pekee haitoshi, Fanyeni kazi kwa bidii huko mpunguze umaskini. Period.
Njoo kwetu kilolo uone tofauti ya Kilimo na Madini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…