Kahama VS Njombe/Mafinga

Hata kama madini yapo sio mengi kwa kiasi hicho, Buzwagi ndio hiyo inakauka miaka michache ijayo kutapauka, pili Kahama sio mji wa transport hub Kama Njombe ni suala la muda tu Kahama itapauka wakati Njombe ndio kuna kucha hivyo. Pindi barabara za Njombe/Itoni kudewa mbamba bay, Njombe Ifakara mikumi na Njombe makete Mbeya zikikamilika zitakuwa ni ufunguo mkubwa sana huku kwa fursa.

Pia usisahau kwamba Njombe ni mkoa wa wachapa kazi na pia kumbuka kuna mabwawa 4 ya kufua umeme yako mbioni kujengwa yote hiyo inakupa picha ya Njombe ya Kesho sio sawa na huko mnakoongoza kwa maskini wengi.
 
Hahaha! Eti nimeishi miaka mitatu alafu unabwabwaja sisi wazawa tusemeje?
.
Mwanza-Shinyanga ni KM 141 na si chache ni nyingi mnooo ni masaa mawili hadi matatu kwa gari.
Njombe ni porini kumejificha watu ni washamba, Kahama wajanja wengi alafu sio wasukuma tu wametoka maeneo mbalimbali ya nchi na jirani
 
Kalinganishe mij yenu ya kenya, wewe kwenye jukwaa la Kenya kazi yako si huwa ni kuiponda Tanzania sasa unalinganisha miji yetu ya nn
ichoboy01 joto la jiwe
laizerg spencer redeemer
Ko mzee baba ulitaka kama ni ukweli miji ya Tzn haijangika na ukuaji wake ni wa ki slums slums niseme Google ya mzungu haitambui wakati kila mtu anaona 😆😆😆😆
 
Umesoma hizo points hapo juu au unajifariji wakati unajua yajayo kwa Kahama yanahuzunisha.
Usifananishe nchi ya ahadi(Njombe) iliko bustani ya Eden(kitulo) na vitu vya kijinga kijinga walikojaa maskini
 
Naifahamu Njombe sana sana.. kuna miaka biashara ya mbao ilikua juu vibaya sana sana.. naijua hii biashara ... lakini huwezi ifananisha Njombe na Kahama..maybe weka battle la Njombe na Mafinga..na Mafinga itaibuka kidedea...! Njombe imekuwa uswekeni.. Zamani kina mama walikua wanajiita mama mbao sasa hivi watu wanaenda na aluminium and the like... uliza wauza mbao wa pale mwnge kama wanauza kma 7yrs ago!
 
Umesoma hizo points hapo juu au unajifariji wakati unajua yajayo kwa Kahama yanahuzunisha.
Usifananishe nchi ya ahadi(Njombe) iliko bustani ya Eden(kitulo) na vitu vya kijinga kijinga walikojaa maskini
Tuweke picha za Njombe (mkoa) na Kahama (wilaya) tuone ipi iko vizuri sawa?
 
ChoiceVariable mwadela bhabha 😂😂😂
 
Kama nakuelewa hivi, watu wanakimbia Iringa na Songea wanaenda Njombe, Njombe kuna fursa ya kuanzia. Ila Iringa kah, Mji mgumu sana.
 
Kama nakuelewa hivi, Watu wanakimbia Iringa na Songea wanaenda Njombe, Njombe kuna fursa ya kuanzia. Ila Iringa kah, Mji mgumu sana.
Na road ya Ifakara ikikamilika na Mbeya, Makete Njombe ikimalizika movements za biashara zitakuwa kubwa sana kati ya Mbeya Njombe Ifakara lazima vumbi liwatimkie watu wa Songea na Iringa maana hata mabus ya Dar yata skip kupitia Iringa sasa yatapitia Njombe na Ifakara to mikumi
 
Kila tukikuambia ulete slum za Dar Tz huleti zaidi ya kukimbia
Ko mzee baba ulitaka kama ni ukweli miji ya Tzn haijangika na ukuaji wake ni wa ki slums slums niseme Google ya mzungu haitambui wakati kila mtu anaona [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…