ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #21
Hata kama madini yapo sio mengi kwa kiasi hicho, Buzwagi ndio hiyo inakauka miaka michache ijayo kutapauka, pili Kahama sio mji wa transport hub Kama Njombe ni suala la muda tu Kahama itapauka wakati Njombe ndio kuna kucha hivyo. Pindi barabara za Njombe/Itoni kudewa mbamba bay, Njombe Ifakara mikumi na Njombe makete Mbeya zikikamilika zitakuwa ni ufunguo mkubwa sana huku kwa fursa.Kahama mzee unaisikia tu, kule hakukauki pesa na haijawahi kauka madini yapo ya kutosha.
.
Njombe kwenye mambao kitendo cha kusema ni sehemu ya mambao hii ina maana ni porini huko ulinganishe na sehemu yenye madini kama kahama?
.
Una bahati mbaya nakujua njombe 😂😂😂 kahama iko juu
Pia usisahau kwamba Njombe ni mkoa wa wachapa kazi na pia kumbuka kuna mabwawa 4 ya kufua umeme yako mbioni kujengwa yote hiyo inakupa picha ya Njombe ya Kesho sio sawa na huko mnakoongoza kwa maskini wengi.