Mipango miji
Member
- Feb 3, 2017
- 61
- 64
Either of the two towns can compete with Kahama as independent townMtoa mada ulivyoandika Njombe/Mafinga unamaanisha nini!!?
Kusini nilifika kitambo ila kwa info zako itabidi nirudi tena maana njombe nilikuwa napita tu na sikuona kama ulikuwa ni mji promising (naongelea kama miaka tisa nyuma). Ulipoulinganisha na potential ya Iringa ndipo nikashtuka, kwani kuna kitu gani kipya maana mbao, mazao na manpower ya ukweli vimekuwepo muda mrefu tuHapo ndipo mnapigwa bao na kukariri,huenda ni Khm ni kubwa kwa sasa lakini kasi ya Njombe ni zaidi ya sana,miti,kilimo cha mazao ya kila aina kuanzia matunda hadi nafaka,madini(chuma,makaa,asbestos),utalii(kitulo),biashara na kujaliwa wachapakazi ni tunu za no return kwa Njombe na potential yake ni kubwa kuliko Kahama ambayo soon mgodi ukizingua itapukutika
Mambo ya barabara kuu hata huku zipo tena na nyingine zinazidi kujengwa so usichukulie poa kumbuka huu ni mkoa bila shaka huduma za msingi ziko vizuri kuliko huko kwa manamba
Hao wote wanakuja ni vile miundombinu ya barabara haijaimalika kwao lakini inavyozidi kuimarika nani afuate mzigo Kahama wakati atatoa Dar moja kwa moja hadi walipoKAHAMA: kahama pana fursa ya maduka ya jumla jumla makubwa ambapo watu wa vijijini hufunga mizigo pale ongeza na watu wa Mpanda, Tabora na Kakonko hadi Kibondo wanafunga mizigo yao ya duka pale
Yani tunaongoza nchi unatuita washamba na masikini?Sasa kahama utaitenganishaje na usukuma ushamba na umasikini
Mbao ni moja tu ya by products za miti lakini kuna karatasi na lami,nguzo za umemeUkitoa mbao ambazo nazo hazina soko, njombe inabakia na viazi ngoja nikupe kidogo kuhusu kahama
Hao wote wanakuja ni vile miundombinu ya barabara haijaimalika kwao lakini inavyozidi kuimarika nani afuate mzigo Kahama wakati atatoa Dar moja kwa moja hadi walipo
Future ya Kahama ni ndogo kuliko hata mpanda na Geita
Mikoa ya maskini hiyo hamna kituYani tunaongoza nchi unatuita washamba na masikini?
.
Tuna mikoa mingi, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Geita, hata Tabora ni Usukumani tu
Lol! Tutawanyoosha nyinyi mzee baba Magu kaza hivyo hivyoLakini kahama ni mji wa watu masikini licha ya kuwa na migodi
Mwanza unailinganisha na mkoa gani wa kusini?Mikoa ya maskini hiyo hamna kitu
Mbeya tu inawatoa knock outMwanza unailinganisha na mkoa gani wa kusini?
Nyie manamba wa migodi ndio inakula kwenu maana sie shughuli zetu hazina uhusiano na hisani za Magu.Pamba hiyoooo inadodaLol! Tutawanyoosha nyinyi mzee baba Magu kaza hivyo hivyo