ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #101
The time ulikuwa pande hizi miji mingi ilikuwa haijaanza kunawiri leo hii Mbeya jiji ni jiji kweli kuna kila kitu kinachohitajika kuwa jiji hata magorofa iliyokuwa inapondwa saizi yanaoteshwa,vyuo vikuu kila mahali,wiwanda,biashara hadi mall zipo na mji unakua just imagine kutoka uyole hadi mbalizi
Ukija Songwe Tunduma na Kahama kwa mzunguko wa pesa na ukubwa havipishani,Mlowo-Vwawa vimeungana mbioni kuitwa manispaa ya Mbozi huku makao makuu ya mkoa yakiwa katikati ya hiyo miji hapo unasubili nini kurudi kukamata fursa?