Kahama VS Njombe/Mafinga

Attachments

  • 02.JPG
    29.9 KB · Views: 4
  • images (1).jpg
    9.7 KB · Views: 4
  • images (2).jpg
    5.4 KB · Views: 3
  • images (3).jpg
    9.2 KB · Views: 4

Mimi nimefanya kazi Makambako, Njombe na Kahama nazifahamu kuliko unavyofahamu huko. Kubali Kahama ni Kubwa Sana Kwa population, Income ya serikali na Income ya mtu mmoja mmoja.Pia si migodi pekee Kuna kilimo nk lakini ni Busisness cente zaidi ya makambako na Njombe, Ukuaji wa Njombe is not more than 7.% wakati kahama itakuwa zaidi ya 11% . Nina uzoefu mpana Sana Kwa maeneo haya
 
Wewe unaamini kwenye official data mnazokusanya au kwenye hadithi na porojo? ukijibu hili swali ntajua cha kukwambia,haiwezekani tunaweka picha,takwimu na maeleo bado mnaleta feelings zenu tuu
 
We kiazi kweli hiyo ni Kahama TC bila Kahama Vijijini (Ushetu+Msalala)
Hakunaga kitu inaitwa Kahama vijijini mburura wewe,hizo ni independent Districts zenye hq huko huko kwao,hata vimapato vyao ni kiduchu below 2 bln annually
 
Hakunaga kitu inaitwa Kahama vijijini mburura wewe,hizo ni independent Districts zenye hq huko huko kwao,hata vimapato vyao ni kiduchu below 2 bln annually

Mimi na wewe nani mbulula aisee? Ikundwa Kahama City huko mbeleni Ushetu DC+Msalala DC zinakuwa ndani ya Kahama. Kama ilivyo Mwanza city (Nyamagana na Ilemela) ambazo kila moja ina mamlaka yake. Alaaaaaaaahhhhh
 
Office data si bla bla
Sasa kama ni official data kwa nini usikubaliane na data za idara ya Takwimu za Taifa zinazosema Njombe ni ya 3 kwa index za maendeleo na iko ttop 5 kwa overall ya vipimo vya human development kuanzia per capita income hadi makazi bora? Wakati huko migodini kumetopea umaskini sasa hizi hadithi na blaa blaa mnazoleta nyie bila data mnazitoa wapi kama sio mihemko yenu inayochagizwa na unazi wa nyumbani?
Mimi nakubali kimapato Kahama iko juu but angalia poupulation yao na wanachozalisha unajikuta wengi ni maskini ndio maana hata nyumba zinawashinda kujenga.Kwa kusisitiza hoja yangu ya high per capita income kwa watu wa Njombe ni uwepo wa mahotel kama wadau tulivyo post kwenye nyuzi za huko juu ambazo kahama hakuna maana kuna maskini wanaoshinda bar na virabuni tuu
 
Najua Kahama itakuwa jIji kabla ya Njombe, na wilaya zitakazo unda jiji la Kahama ni Kahama mjini+Ushetu+Msalala....
 
Hii ni mipaka ya kabla ya kuanzishwa hizo wilaya mpya,lete current map sio ya zamani,hata Wilaya ya Njombe imezalisha Wanging"ombe District iliyokuwa sehemu ya Njombe Rural
Mipaka ipo vile vile kuna Ushetu upande wa Magharibi na Msalala upande wa Mashariki
 
Najua Kahama itakuwa jIji kabla ya Njombe, na wilaya zitakazo unda jiji la Kahama ni Kahama mjini+Ushetu+Msalala....
Sisi kipaombele chetu sio kuitwa jiji au manispaa bali barabara ya Njombe/Itoni -Ludewa-manda -Mbamba Bay,,Njombe-Makete-Isyonje/Mbeya na Njombe-madeke-Mlimba-Ifakara zikamilike kwa lami ndio hizo habari zingine ziendelee kama ramani ianyooshesha hapo chini.Hizo roads zikifunguka tuu ,Njombe itazaliwa upya kama kitovu kikuu cha Uchumi na biashara
 
Attachments

TAMISEMI na Kahama ni washindi, wacha tukaomboleze kwanza msiba wa Mama yetu Rev. Getrude Rwakatare.
 
Mipaka ipo vile vile kuna Ushetu upande wa Magharibi na Msalala upande wa Mashariki
Saw pointi ya msingi ni kwamba Kahama Rural comprising Ushetu and Msalala Districts ni poor tu kimapato,zinakusanya below 2bln annually so hazina msaada hapo Kahama
 
Saw pointi ya msingi ni kwamba Kahama Rural comprising Ushetu and Msalala Districts ni poor tu kimapato,zinakusanya below 2bln annually so hazina msaada hapo Kahama
Sawa ongeza hapo kwenye billion 3.2 za Kahama unapata ngapi vile? Hata Geita bado haifuati yaani
 
TAMISEMI na Kahama ni washindi, wacha tukaomboleze kwanza msiba wa Mama yetu Rev. Getrude Rwakatare.
Endeleeni kushinda but mtakapokuwa mnaambiwa nyie ni maskini wa kutupwa msiwe mnatoa povu,ombolezeni kama alikuwa msaada kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…