Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,130
- 6,097
Kwa hiyo?Around 9.2 for 1 District (with 3 Councils),,8.7( only 1 District with 2 Councils)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo?Around 9.2 for 1 District (with 3 Councils),,8.7( only 1 District with 2 Councils)
Mimi nimefanya kazi Makambako, Njombe na Kahama nazifahamu kuliko unavyofahamu huko. Kubali Kahama ni Kubwa Sana Kwa population, Income ya serikali na Income ya mtu mmoja mmoja.Pia si migodi pekee Kuna kilimo nk lakini ni Busisness cente zaidi ya makambako na Njombe, Ukuaji wa Njombe is not more than 7.% wakati kahama itakuwa zaidi ya 11% . Nina uzoefu mpana Sana Kwa maeneo haya
Kwa hiyo ni kwamba chukua idadi ya mapato gawanya na idadi ya watu jibu utapata ni umaskini tu huko usukumani ndio maana njaa haziishiKwa hiyo?
What you know is porojo since post no.1 hakuna mnachopost kama ushahidi zaidi ya blaa blaa kibao na kulalamika na kutoa mapovuUtapoteza nguvu zako bure humu maana hata uwaeleweshe vipi hawatoelewa.
Kuna ubishani usio na sababu za msingi, wakubalie kanda ya ziwa ipo chini ya kanda ya kusini kimaendeleo ili wafurahie maana haitobadili ukweli
What you know is porojo since post no.1 hakuna mnachopost kama ushahidi zaidi ya blaa blaa kibao na kulalamika na kutoa mapovu
Tupe aerial view😅Njombe Town,picha zinazungumza sio porojo
TRA hao hapo chini,wewe endelea kuleta porojo zako mimi nakupa data na factsMkuu nishawahi kuchangia previously humu na nikaona napoteza muda tu.
Kwanza ulinambia wewe sio mkenya na nkakubali remember..
secondly kahama nimepita tu so huwa siwezi changia mengi ila kusini nimekaa zaidi ya miaka minne na lake zone ni play ground yangu so, hunidanganyi CHOCHOTE
Siwezi kupoteza nguvu kubishana kwa vitu obvious.
1. Ila niwapongeze wakinga kwa kuja juu kibiashara
2. Wakusini pia mmepata cha kuongelea maana mlikuwa mnajihisi inferior sana kwa wageni
3. Hope mmepunguza pia imani za kishirikina
Wanauliza wasukuma pesa ya dhahabu wanapeleka wapi? tumewaambia wanapandia Precision Air wameingia mitini kwenda kuiamsha drone walete Aerial view. AhahahahahaahTupe aerial view😅
😆😆😆😆!!!Wanauliza wasukuma pesa ya dhahabu wanapeleka wapi? tumewaambia wanapandia Precision Air wameingia mitini kwenda kuiamsha drone walete Aerial view. Ahahahahahaah
Utapoteza nguvu zako bure humu maana hata uwaeleweshe vipi hawatoelewa.
Kuna ubishani usio na sababu za msingi, wakubalie kanda ya ziwa ipo chini ya kanda ya kusini kimaendeleo ili wafurahie maana haitobadili ukweli
Mnabishana na TAMISEMI eti?
Yaani wewe ni matobolwa kabisa mbona nimeweka picha nyingi sana zikiwemo za aeria? hadi sasa mnazungusha ulimi tu hata photos hakunaTupe aerial view😅
Onyesha hata aerial view basi ya kahama,acha porojo za kutapatapa
Wewe piga domo la mkosaji wee,mimi nakupa namba tuu,soma hiyo hapo chini kutoka TRAMkuu nishawahi kuchangia previously humu na nikaona napoteza muda tu.
Kwanza ulinambia wewe sio mkenya na nkakubali remember..
secondly kahama nimepita tu so huwa siwezi changia mengi ila kusini nimekaa zaidi ya miaka minne na lake zone ni play ground yangu so, hunidanganyi CHOCHOTE
Siwezi kupoteza nguvu kubishana kwa vitu obvious.
1. Ila niwapongeze wakinga kwa kuja juu kibiashara
2. Wakusini pia mmepata cha kuongelea maana mlikuwa mnajihisi inferior sana kwa wageni
3. Hope mmepunguza pia imani za kishirikina
Labda nyie ndo mnabishana ,hapa tunawatoa masizi na ushamba wenu wa kisukumaMnabishana na TAMISEMI eti?
Yaani hako ka airstrip kasikupe shida saana,Njombe tunajenga airport kabisaa inapigwa lami ya kutosha maana tunasafirisha sana mazao ya kilimo/mboga mboga na matunda nje ya nchi na huu ni mkoa na mji strategic kiuchumi sio sawa na machimboni hukoPrecision air Kanda ya ziwa inatua kwenye viwanja vinne tu, Bukoba, Mwanza, Musoma na Kahama tu, hivyo viwanja karibia vyote ndege zinatua ikiwemo Air Tanzania vipo kwenye Makao makuu ya Mkoa na sio wilayani na kama ilivyo kwa Kahama.
Kahama mjini pia kuna petrol filling Station zaidi ya 20+ tuletee na hesabu ya Njombe..
View attachment 1424561
Wenzako wanasafirisha dhahabu nje wewe unakuja kulingishia kusafirisha michicha ya hamsini hamsini hapa!![emoji38][emoji38]Yaani hako ka airstrip kasikupe shida saana,Njombe tunajenga airport kabisaa inapigwa lami ya kutosha maana tunasafirisha sana mazao ya kilimo/mboga mboga na matunda nje ya nchi na huu ni mkoa na mji strategic kiuchumi sio sawa na machimboni huko
MmegeukanaOnyesha hata aerial view basi ya kahama,acha porojo za kutapatapa
picha hatari sana hizi😅😅Yaani wewe ni matobolwa kabisa mbona nimeweka picha nyingi sana zikiwemo za aeria? hadi sasa mnazungusha ulimi tu hata photos hakuna