ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #101
Mbona Shinyanga mjini ni makao makuu ya mkoa lakini Kahama iko speed kuliko shy town?
The time ulikuwa pande hizi miji mingi ilikuwa haijaanza kunawiri leo hii Mbeya jiji ni jiji kweli kuna kila kitu kinachohitajika kuwa jiji hata magorofa iliyokuwa inapondwa saizi yanaoteshwa,vyuo vikuu kila mahali,wiwanda,biashara hadi mall zipo na mji unakua just imagine kutoka uyole hadi mbalizi
Ukija Songwe Tunduma na Kahama kwa mzunguko wa pesa na ukubwa havipishani,Mlowo-Vwawa vimeungana mbioni kuitwa manispaa ya Mbozi huku makao makuu ya mkoa yakiwa katikati ya hiyo miji hapo unasubili nini kurudi kukamata fursa?
Sasa mimi nikae usagara polini uswahilini kule? Kwa taarifa yako na kufahamu hiyo pande my bro ni staff huko na kujenga usagara ila huko uswahilini hadi Busisi siwezi kuishi nabaki Isyesye imepangwa kimipango miji mkuuChoiceVariable: njoo nikufindishe nchi yako ilivo sio uwe unaandika usiyoyajua, Mwanza iache kama ilivo ile ni habari nyingine kabisa Na wewe utawatafuta akina manengelo wakutagutie kiwanja ukute hadi usagara pamejaa au ubakie kwenu isyesye na isanga.
Achana na Mafinga zungumzia NjombeKahama kuna basi LA moja kwa moja ila mafinga hamna
ChoiceVariable: njoo nikufindishe nchi yako ilivo sio uwe unaandika usiyoyajua, Mwanza iache kama ilivo ile ni habari nyingine kabisa Na wewe utawatafuta akina manengelo wakutagutie kiwanja ukute hadi usagara pamejaa au ubakie kwenu isyesye na isanga.
Mkuu, nackia mbeya ni hatari pamejengeka, mandhari ya kule is fantastic balaa. Baada ya Dar na Mwanza, Mbeya inafuata. I wish niende nikatembee niangalie na fursa zinaendaje
Sio kihivyo mkuu huku wengi wanakudisi kwa sababu ya vumbi na baridi yaani udongo wake kiangazi unamomonyoka na kuwa Poda sasa upepo wa kutoka Nyasa ukivuma ni balaa tupu otherwise mandhari ni mazuri sana sema watu wa mipango miji ndio wanazingua by the way saizi biashara zinatoka kuanzia city hadi Tunduma borderMkuu, nackia mbeya ni hatari pamejengeka, mandhari ya kule is fantastic balaa. Baada ya Dar na Mwanza, Mbeya inafuata. I wish niende nikatembee niangalie na fursa zinaendaje
Na sijatoka miaka mingi kama unavofikiria am still there lakini mwanza huwezi ilinganisha na Mbeya kwa lolote
Kama ni banks zipo za kutosha kila mji
Hapo mkali kazingua Mbeya iko nyuma ya Dom pia😂😂😂😂 Tembea uone..kwamba baada ya Dar na Mwanza inakuja Mby😂😂😅🙌🙌
Mm nko mbeya muda huu.... Bado mbeya pakawaidaaa... Kukutana na nyumba ya tope ni kawaida sanaMkuu, nackia mbeya ni hatari pamejengeka, mandhari ya kule is fantastic balaa. Baada ya Dar na Mwanza, Mbeya inafuata. I wish niende nikatembee niangalie na fursa zinaendaje