Kahama VS Njombe/Mafinga

[emoji1787][emoji1787]Sasa we mbwa jike malaya, katika vyote umeona ureply kuhusu milima tu! Ungesaini matokeo ya isamilo&isamilo kukilambisha mchanga hicho mnachokiita CBD huko kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wewe popo hujasaini matokeo ya Mwanza kuongoza kwa umaskini? saini hapo ndo tuendelee vinginevyo ntakupuuza maana unanichafulia uzi kwa uharo wako
 
Ndani ya jiji la Mwanza kuna manispaa, Ndani ya jiji la mbeye hakuna.
Saini matokeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulivyo pimbi unadhani sehemu Mbeya hakutakuwa na Manispaa mbili? Mwanza wakati inaanzishwa ilikuwa na manispaa? Afu hujui kitu hakuna manispaa mbili hapo ila kuna jiji la mwanza na manispaa ya ilemela,hakuna manispaa ya nyamagana labda iko mdomoni mwako
Pili ni suala la muda tuu utasikia manispaa ya uyole au Mbalizi na jiji la mbeya sio unabwata bwata wakati hujui kitu
 
Hiv unaongelea stendi za mkoa au vituo vya daladala?

Maana kama vitu vya daladala mwanza vipo kibao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We Kweli ni mbuzi......
 
Hiv unaongelea stendi za mkoa au vituo vya daladala?

Maana kama vitu vya daladala mwanza vipo kibao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Onyesha kituo kmojawapo kinachofanana na nanenane kati ya hivyo kibao?
Usiwe unakurupuka nimekupa hadi excel hapo za stend mpya 2 zitakazojengwa chini ya mradi wa TACTIC,stendi kuu mpya ya mkoa na stend ya Uyole
 
We mbwa uwe unasoma na kuelewa, wapi nimeandika habari ya manispaa mbili?![emoji1787][emoji1787] Au ndo kubanwa mbavu na kuanza kubwekabweka hapa! Nimesema ndani ya jiji la Mwanza kuna manispaa, ndani ya jiji la mbeya haipo.
Hatuzungumzii ramli hapa 'eti mbeya kutakuwa na manispaa mbili' tunazungumzia kilichopo kama ulivyouliza tukutajie kilichopo Mwanza ambacho hakipo mbeya, jibu ni ndani ya jiji la Mwanza kuna manispaa na ndani ya jiji la mbeya hakuna, yaani kwa maana nyingine ndani ya jiji la Mwanza kuna kairinga au kamorogoro. Kwa hiyo chukua kambeya na kamorogoro ndo upambanishe na liMWANZA. Umesikia we mbwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nguruwe jike hutulii kila dampo kila karo unataka kuogelea ,unanichosha nakupuuza rasmi
 
Onyesha kituo kmojawapo kinachofanana na nanenane kati ya hivyo kibao?
Usiwe unakurupuka nimekupa hadi excel hapo za stend mpya 2 zitakazojengwa chini ya mradi wa TACTIC,stendi kuu mpya ya mkoa na stend ya Uyole
Ona zinazojengwa Mwanza mbwa wewe, ya Nyegezi kwanza na hizo picha 3 zingine ni ya nyamhongo manispaa ya ilemela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wakishiba wana'sumbua sana..

Em iacheni mwanza kama ilivyo, yani uweke mwanza na mbeya then useme mbeya, utakuwa una unyafuzi au degedege

...
 
Baada ya kuchakazwa na Kahama sasa umehamia Mbeya unaanza kuilinganisha na Mwanza [emoji1][emoji1]
 
Baada ya kuchakazwa na Kahama sasa umehamia Mbeya unaanza kuilinganisha na Mwanza [emoji1][emoji1]
Wapi Kahama,Njombe inachakaza kama hivi yaani
 

Attachments

  • unilever-tea-tanzania.jpg
    38.9 KB · Views: 2
  • A-2.JPG
    151.7 KB · Views: 2
  • unnamed.png
    75.3 KB · Views: 2
  • PIC-1-4-1024x683.jpg
    47.9 KB · Views: 2
  • iringa+pic.jpg
    29.1 KB · Views: 2
  • FV0A0315-1024x683.jpg
    81.8 KB · Views: 2
  • DSC_1281.JPG
    157.8 KB · Views: 2
Hii league ya Lake zone na Southern highland isiwepo labda baada ya miaka 20 ijayo
Mwanza, Mwanza, Mwanza



















 

Attachments

  • 1587829131812.png
    736.2 KB · Views: 2
  • 1587829161710.png
    779.1 KB · Views: 2
  • 1587829237776.png
    870.3 KB · Views: 2
FUTURE AND ONGOING PROJECT Mwanza

Weill Bugando Heart Institute


na hii ni ophthalmology centre. Yaani idara ya macho for paediatrics and adults.


Mwanza International Ariport


Cargo terminal



Control Tower




Ilemela Municipal building








Proposed Kitangiri Market


Kiloleli juu hospital


Busisi Mega bridge
 
Renders kila sehemu zipo,cha ajabu Lake zone yote inategemea mwanza tuu iwatoe kimasomaso,the rest ni takataka towns tofauti kabisa na S/Highlands zone ambako kila mji ni mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…