Kahama VS Njombe/Mafinga

Nimekaa Mafinga mwaka ukiniambia nirudi pale kufanya maisha naweza nikakupiga kichwa...vumbi la pale kiboko miguu inakakamaa kama ngozi ya mamba
Heri upate Murder case lakini sio urudi Mafinga[emoji23]
 
Alafu mkumbuke sikuizi mtu hawezi kudanganyika kirahisi anachek tu Google map mji wote hapo ndipo utajua mji upi unakwenda Kasi sio story za vijiweni au za kuvutia nyumbani ukweli utaonekana t pia kila halmashauri Ina tovuti yenye data zote mfano ya mafinga inakwambia mji inawakazi 84000 umeanza 2015 wakati mji wa makambako inakadiliwa kuwa na wakaz zaidi 150000 na tunduma pia ko hapo mtu unajifunza Kitu sio kuleta mada za Mara makao makuu ya mkoa Mara makao makuu ya makanisa haya yanaweza kuwa sehemu yoyote ilimradi vikao husika viliamuaje pia saiz hoteli zinajengwa kila sehemu kuna miji Kama Moshi na arusha hoteli zpo Hadi vijijini kwa sababu ya utalii pia hata bank ko kila mji inatakiwa uangalie pana fursa gani je inafanyiwa kazi na zingine saiz zimesimama tofauti na nyuma mfano biashara ya mbao imesimama ndo maana utaona matajiri wengi wameelekeza pesa zao kwenye biashara zingine ko mji unaotegemea zao hili lazima urudi nyuma kidogo Ni tofaut tunavosema mji huu Ni wa biashara nachukulia mfano makambako pale mzunguko wa hela Ni mwaka mzima kwa sababu watu wengi hawategemei Kitu kimoja na watu wengi pale Ni wajasiriamali tofauti na njombe wanategemea kilimo ko ukianza msimu wamasham a watu wengi pesa wanaelekeza shambani na mafinga watu wengi wanategemea mbao ko hizi fursa ndizo zinazo ufanya mji ukue au usikue kutokana na shughuli za kila siku pia na urahisi wa maisha ikiwemo gharama za ujenzi
 
Mufindi Urban


Makambako urban


Tunduma urban


Kagongwa ward (Kahama Urban)
 
Hiyo Kagongwa Kahama ni kata tu ipo nje ya mji lakini kwa biashara tu kuna benk mbili za Azania na CRDB zina matawi hapo.
.
 
Safi Sana Hapo mtu ndo unapata. Majibu sio kuvutia nyumbani tu bila sababu takwim ndo kila Kitu
Nipe staticts za Makamabako sasa Maana kwa statistics za hapo juu nimeona kua Kahama ina kata mbili za Urban na Njombe tatu huku nyingine zikiwa ni rural ward/sio town japo ni stastics za muda mrefu sana hata hiyo pplation ni outdated maana miaka nane kwa maendeleo ya binadamu ni mingi sana Mambo yameshabadilika sana
 
Makambako kata tisa zipo mjini Kama ifuatavyo kata ya makambako mwembetogwa maguvani majengo mlowa kitisi kivavi lyamkena na mjimwema hizi ndo kata za mjini mixed Ni utengule mahongole na kitandililo na mitaa ipo 54 vijiji 12 tofauti na njombe yenye mitaa 28 na vijiji 44 na mafinga kata zipo 9 za mjini Ni boma upendo changalawe wambi kinyanambo za vijijini Ni saohill lungemba bumilayinga na isalavanu Kuna mitaa 30 na vijiji 11 hizo ndo takwimu nimeingia tovuti ya kahama tc Ina kata 20 mitaa 32 na vijiji 45
 
Alafu watu was njombe bhana mji kuwa makao makuu sio ndo ukuaji mbona makambako imewa zidi sana kwa ukubwa alafu hata mafinga bdo padogo ukilinganisha hata na makambako kujisifu ndo kwing uongo mtupu
Porojo unazo wewe,imetuzidi kwa ukubwa upi? Weka
Wewe utakuwa sio zumbukuku tena Bal zumbubata kabisaa,labda kichaa ndio anaweza tamani kuishi huko Kahama,Kama una hasira kunywa maji Ila Njombe ndio habari ya mjini kwa sasa na sio huko machimboni
 
Kusoma hujui hata picha huoni? Total collections Njombe imeipiga Kahama mbali Sana sasa sijui wewe hiyo overall yako unayoisema ni ipi,hata ukileta makusanyo ya 2019/20 kote mumepigwa sasa unasingizia makinikia je na sisi tukisingizia covid kuharibu soko la mazao ya miti na maparachichi je
 
Alafu watu was njombe bhana mji kuwa makao makuu sio ndo ukuaji mbona makambako imewa zidi sana kwa ukubwa alafu hata mafinga bdo padogo ukilinganisha hata na makambako kujisifu ndo kwing uongo mtupu
Ukubwa upi unaousema,weka takwimu za idadi ya watu,idadi ya kata ndio uje na porojo zako.Njombe imekuwa TC kitambo Sana sio Kama hao watoto akina Makambako,saizi iko mbioni kuwa manispaa
 
Na miji inayokua na ya kibiashara Ni kahama makambako na tunduma sio mnalinganisha na miji ya hela za msimu wa mavuno
Njombe mjini Kuna mavuno gani ya msimu? Hiyo miji ni ya kichuuzi toka kitambo but haina chochote kuanzia maendeleo ya huduma Hadi kiuchumi na itabakia kuwa magulio tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…