mhuri25
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 2,780
- 3,733
Heri upate Murder case lakini sio urudi Mafinga[emoji23]Nimekaa Mafinga mwaka ukiniambia nirudi pale kufanya maisha naweza nikakupiga kichwa...vumbi la pale kiboko miguu inakakamaa kama ngozi ya mamba