Kahama VS Njombe/Mafinga

Tushatoka huko....sisi sasa hiv ndege zote zimezidiwa abiria hadi ndege tatu zinaenda Bukoba kwa mkupuo...
Ni wap Tanzania hii Air Tanzania inachekelea kama sasa...

Nimeona pia proposal ya mkuu wa mkoa kutaka mpango wa uwanja wa ndege wa kimataifa omkajunguti uendelee kama kawaida
 

Attachments

  • FB_IMG_1702090330159.jpg
    94.2 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1702090327369.jpg
    94.2 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1702090324806.jpg
    94.5 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1702090321185.jpg
    94.5 KB · Views: 6
Dar es Salaam, Tuesday, 12 December 2023 – Following the appointment of China Civil and Engineering and Construction Corporation (CCECC) as the negotiator for the prospective engagement of a Chinese operator in the revitalization of TAZARA, CCECC has formed and dispatched a Task Force to conduct a comprehensive business and technical inspection of the Tanzania-Zambia Railway Authority (TAZARA).

The inspection is to be carried out from Dar es Salaam in Tanzania to Kapiri-Mposhi in Zambia, with the aim being to assess TAZARA's operational and business model, setting the stage for the submission by CCECC of an optimized TAZARA Revitalization Proposal to the Shareholders of TAZARA.

#tazaramustrevive #tazara #tanzaniazambia #tanzania #zambia #RailwayDevelopment #InfrastructureInvestment #ChineseInvestment #TAZARARevitalisation #tanzaniasafari #treni #trainjourney
 
Wataalamu wa China wafanya ukaguzi wa reli ya TAZARA
2023-12-13 08:42:00|CRI

Kampuni ya Ujenzi na Uhandisi ya China (CCECC) imepeleka kikosi kazi cha wataalamu kufanya ukaguzi wa kina wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA).
Katika taarifa yake iliyotolewa jana na TAZARA, ukaguzi huo utafanyika kuanzia Dar es Salaam nchini Tanzania hadi New Kapiri Mposhi nchini Zambia, na unalenga kutathmini utendaji kazi wa reli hiyo na mfumo wa biashara, na kuwasilisha kwa wadau wa reli hiyo, muswada wa Kampuni hiyo wa kunufaika zaidi na matumizi ya reli hiyo.
Mwezi Agosti mwaka jana, rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na mwenzake wa Zambia, Hakainde Hichilema walikubaliana kukusanya rasilimali ili kufufua reli ya TAZARA na kuifanya kuwa na kisasa zaidi.
Reli ya TAZARA ilijengwa kati ya mwaka 1970 na 1975, kupitia mkopo usio na riba kutoka China, na ilianza rasmi kufanya kazi mwezi Julai mwaka
 
Hii reli ndo itatoa matokeo Chanya ya bandari maana ndo itakauo beba mizigo mingI Na uzuri walisha weka craine sehemu zote za kupakilia mizigo Cha msingi wanaenda kuboresha iende kisasa zaidi na hii itapelekea baadhi ya miji kuwa logistic center kutokana na rasilimali zinazo wazunguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…