Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Visit mwanza city .....
GBIH15oXwAAGXFL.jpeg
GA1LvUhWQAANbvL.jpeg
F_6z9KMWIAAUQ6c.jpeg
 
Hivi sumbawanga huko miradi yenu ya TACTIC ni ipi??
Sumbawanga ni Mji mkubwa hapa Tanzania ni Kati ya Miji 12 yenye population over 300k,sio Kijiji kala Bukoba.

Program yeyote ya kuendeleza Mji ,Swax imo tena kwenye awamu ya kwanza kuanzia ULGSP Hadi Tactic.

Wakati nyie Bukoba Village ndio mnafanya Usanifu

-Sumbawanga Ujenzi unaendelea wa barabara km 12 vs Bukoba km 7 😂😂
-Ujenzi unaendelea wa Soko na Soko na stoo za mazao ya nafaka vs Usanifu wa Bukoba market 🤣🤣
 
Sumbawanga ni Mji mkubwa hapa Tanzania ni Kati ya Miji 12 yenye population kuanzia over 300 ,sio Kijiji kala Bukoba.

Tatizo unaandika kwa mihemuko kijana, eti bukoba haikuwa na mradi wa ULGSP?? Hujui kwamba bukoba zilijengwa km 5.7 za barabarani kwenye huo mradi baada ya wanasiasa waliokuwa wanagombana kutulia. Alafu hujui kwamba km 12 kwa kijiji kikubwa cha sumbawanga ni kama tone la maji kwenye bahari yaani ni kama hamna mlichofanya. Ukiachana na hiyo miradi ya TACTIC kuna miradi mingine mikubwa ya serikali inaendelea kama ujenzi wa stendi ya daladala, barabara na bandari
 
BK zinajengwa sababu ya jina Manispaa ila Haina vigezo.Wakati mnajenga km 5 wenzio wakijenga zaidi ya km 10 ikiwemo dual Carriage road.

Kumbe unakiri kwamba Swax is bigger 3 times your fishing Village of Bukoba? So we deserves more than that.
 
Sumbawanga ni Mji mkubwa hapa Tanzania ni Kati ya Miji 12 yenye population kuanzia over 300 ,sio Kijiji kala Bukoba.

Program yeyote ya kuendeleza Mji ,Swax imo tena kwenye awamu ya kwanza kuanzia ULGSP Hadi Tactic.

Wakati nyie Bukoba Village ndio mnafanya Usanifu

-Sumbawanga Ujenzi unaendelea wa barabara km 12 vs Bukoba km 7 😂😂
-Ujenzi unaendelea wa Soko na Soko na stoo za mazao ya nafaka vs Usanifu wa Bukoba market 🤣🤣

BK zinajengwa sababu ya jina Manispaa ila Haina vigezo.Wakati mnajenga km 5 wenzio wakijenga zaidi ya km 10 ikiwemo dual Carriage road.

Kumbe unakiri kwamba Swax is bigger 3 times your fishing Village of Bukoba? So we deserves more than that.
Acha ushamba dogo unafikiri manispaa unaitwa tu, Eti Swax is bigger 😂😂😂 yaani kuwa na eneo kubwa la mapori alafu ndo mnaita manispaa mnaona wajanja 🤣. Yaani sumbawanga hata mngepewa km 20 dhidi ya km 7 za bk bado bk nimekula bingo maana hizo 7 zinaonekana kuliko huko kijiji kikubwa. Narudia hicho ni kijiji kikuuubwa kimejaa washamba ili barabara za Rami zijae sio leo
 
BK ni Kijiji Cha wavuvi hakina sifa ya Manispaa.

Pori lipi tena mzeiya? Soma Popn growth rate harafu ujione ulivyo kima
Screenshot_20231031-061536_1.jpg
 
BK ni Kijiji Cha wavuvi hakina sifa ya Manispaa.

Pori lipi tena mzeiya? Soma Popn growth rate harafu ujione ulivyo kima View attachment 2845840
Yaani ukiwa na utapiamlo unageuka kuwa mpumbavu, ngoja nikuelimishe kidogo kwa ulichoandika. Maeneo yote ambayo ni mapori ndo yana Population growth rate kubwa kwa sababu watu Wameanza kuhamia huko baada ya kujaa maeneo mengine. Mfano watu wanahamia pwani kutoka Dar, kwa hiyo huko kusini ni maporini tu hata kama hutaki na wanaokuja huko ni wasukuma hakuna Mhaya wa kuja maporini huko 🤣🤣
 
Sumbawanga ni Mji mkubwa hapa Tanzania ni Kati ya Miji 12 yenye population over 300k,sio Kijiji kala Bukoba.

Program yeyote ya kuendeleza Mji ,Swax imo tena kwenye awamu ya kwanza kuanzia ULGSP Hadi Tactic.

Wakati nyie Bukoba Village ndio mnafanya Usanifu

-Sumbawanga Ujenzi unaendelea wa barabara km 12 vs Bukoba km 7 😂😂
-Ujenzi unaendelea wa Soko na Soko na stoo za mazao ya nafaka vs Usanifu wa Bukoba market 🤣🤣
Ukiachana tactic...Bukoba kunajengwa km 5.1 ya barabara ya njia nne, stendi ya daladala , bandari inapanuliwa , uwanja wa ndege unawekewa taa, kuna mall mpya inajengwa, Kuna conference centre kubwa inaitwa KCU imefunguliwa, kuna hospital kubwa ya watu binafsi inajengwa zaidi ya 5 billion...
Bukoba ni construction site nowdays...kutangulia sio kufika mkuu
 
Back
Top Bottom