Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitoa soko,vingine vyote Sumbawanga imewazidi.
View: https://www.instagram.com/p/C05lkIsoWUY/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
Nileteeni CBD yote ya mbeya Mimi niwape mtaa wa pamba rwegasoreView attachment 2843125
Sumbawanga ni Mji mkubwa hapa Tanzania ni Kati ya Miji 12 yenye population over 300k,sio Kijiji kala Bukoba.Hivi sumbawanga huko miradi yenu ya TACTIC ni ipi??
Tatizo unaandika kwa mihemuko kijana, eti bukoba haikuwa na mradi wa ULGSP?? Hujui kwamba bukoba zilijengwa km 5.7 za barabarani kwenye huo mradi baada ya wanasiasa waliokuwa wanagombana kutulia. Alafu hujui kwamba km 12 kwa kijiji kikubwa cha sumbawanga ni kama tone la maji kwenye bahari yaani ni kama hamna mlichofanya. Ukiachana na hiyo miradi ya TACTIC kuna miradi mingine mikubwa ya serikali inaendelea kama ujenzi wa stendi ya daladala, barabara na bandariSumbawanga ni Mji mkubwa hapa Tanzania ni Kati ya Miji 12 yenye population kuanzia over 300 ,sio Kijiji kala Bukoba.
Program yeyote ya kuendeleza Mji ,Swax imo tena kwenye awamu ya kwanza kuanzia ULGSP Hadi Tactic.
Wakati nyie Bukoba Village ndio mnafanya Usanifu
-Sumbawanga Ujenzi unaendelea wa barabara km 12 vs Bukoba km 7 😂😂
-Ujenzi unaendelea wa Soko na Soko na stoo za mazao ya nafaka vs Usanifu wa Bukoba market 🤣🤣
BK zinajengwa sababu ya jina Manispaa ila Haina vigezo.Wakati mnajenga km 5 wenzio wakijenga zaidi ya km 10 ikiwemo dual Carriage road.Tatizo unaandika kwa mihemuko kijana, eti bukoba haikuwa na mradi wa ULGSP?? Hujui kwamba bukoba zilijengwa km 5.7 za barabarani kwenye huo mradi baada ya wanasiasa waliokuwa wanagombana kutulia. Alafu hujui kwamba km 12 kwa kijiji kikubwa cha sumbawanga ni kama tone la maji kwenye bahari yaani ni kama hamna mlichofanya. Ukiachana na hiyo miradi ya TACTIC kuna miradi mingine mikubwa ya serikali inaendelea kama ujenzi wa stendi ya daladala, barabara na bandari
Sumbawanga ni Mji mkubwa hapa Tanzania ni Kati ya Miji 12 yenye population kuanzia over 300 ,sio Kijiji kala Bukoba.
Program yeyote ya kuendeleza Mji ,Swax imo tena kwenye awamu ya kwanza kuanzia ULGSP Hadi Tactic.
Wakati nyie Bukoba Village ndio mnafanya Usanifu
-Sumbawanga Ujenzi unaendelea wa barabara km 12 vs Bukoba km 7 😂😂
-Ujenzi unaendelea wa Soko na Soko na stoo za mazao ya nafaka vs Usanifu wa Bukoba market 🤣🤣
Acha ushamba dogo unafikiri manispaa unaitwa tu, Eti Swax is bigger 😂😂😂 yaani kuwa na eneo kubwa la mapori alafu ndo mnaita manispaa mnaona wajanja 🤣. Yaani sumbawanga hata mngepewa km 20 dhidi ya km 7 za bk bado bk nimekula bingo maana hizo 7 zinaonekana kuliko huko kijiji kikubwa. Narudia hicho ni kijiji kikuuubwa kimejaa washamba ili barabara za Rami zijae sio leoBK zinajengwa sababu ya jina Manispaa ila Haina vigezo.Wakati mnajenga km 5 wenzio wakijenga zaidi ya km 10 ikiwemo dual Carriage road.
Kumbe unakiri kwamba Swax is bigger 3 times your fishing Village of Bukoba? So we deserves more than that.
BK ni Kijiji Cha wavuvi hakina sifa ya Manispaa.Acha ushamba dogo unafikiri manispaa unaitwa tu, Eti Swax is bigger 😂😂😂 yaani kuwa na eneo kubwa la mapori alafu ndo mnaita manispaa mnaona wajanja 🤣. Yaani sumbawanga hata mngepewa km 20 dhidi ya km 7 za bk bado bk nimekula bingo maana hizo 7 zinaonekana kuliko huko kijiji kikubwa. Narudia hicho ni kijiji kikuuubwa kimejaa washamba ili barabara za Rami zijae sio leo
Yaani ukiwa na utapiamlo unageuka kuwa mpumbavu, ngoja nikuelimishe kidogo kwa ulichoandika. Maeneo yote ambayo ni mapori ndo yana Population growth rate kubwa kwa sababu watu Wameanza kuhamia huko baada ya kujaa maeneo mengine. Mfano watu wanahamia pwani kutoka Dar, kwa hiyo huko kusini ni maporini tu hata kama hutaki na wanaokuja huko ni wasukuma hakuna Mhaya wa kuja maporini huko 🤣🤣BK ni Kijiji Cha wavuvi hakina sifa ya Manispaa.
Pori lipi tena mzeiya? Soma Popn growth rate harafu ujione ulivyo kima View attachment 2845840
Ukiachana tactic...Bukoba kunajengwa km 5.1 ya barabara ya njia nne, stendi ya daladala , bandari inapanuliwa , uwanja wa ndege unawekewa taa, kuna mall mpya inajengwa, Kuna conference centre kubwa inaitwa KCU imefunguliwa, kuna hospital kubwa ya watu binafsi inajengwa zaidi ya 5 billion...Sumbawanga ni Mji mkubwa hapa Tanzania ni Kati ya Miji 12 yenye population over 300k,sio Kijiji kala Bukoba.
Program yeyote ya kuendeleza Mji ,Swax imo tena kwenye awamu ya kwanza kuanzia ULGSP Hadi Tactic.
Wakati nyie Bukoba Village ndio mnafanya Usanifu
-Sumbawanga Ujenzi unaendelea wa barabara km 12 vs Bukoba km 7 😂😂
-Ujenzi unaendelea wa Soko na Soko na stoo za mazao ya nafaka vs Usanifu wa Bukoba market 🤣🤣
Bakwata complex mwakani mwezi wa tisa inafunguliwa....ujenzi uko kasi sana...na unaaambiwa vyumba vyote vishajaa hata ujenzi haujaishaBK ni Kijiji Cha wavuvi hakina sifa ya Manispaa.
Pori lipi tena mzeiya? Soma Popn growth rate harafu ujione ulivyo kima View attachment 2845840
Bakwata complex mwakani mwezi wa tisa inafunguliwa....ujenzi uko kasi sana...na unaaambiwa vyumba vyote vishajaa hata ujenzi haujaisha
View: https://youtu.be/df4wrqs_Bpk?si=Js7X2NcQXvE2yuMF
Achana nap...Huwa namshangaa jamaa anatoa wapi ujasiri wa kulinganisha bk na vijiji kama sumbawanga