ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #17,961
Kutoka mitaa ya kashura Bukoba
Bukoba skyline 2023...Huu mji una bright future
Upuuzi Kuna skyline yeyote ya maana hapo?Tatizo hutaki kusikia huu mradi ndo maana unaona nimeongelea huu mradi zamani...
Huu mradi umeanza mwezi wa nne mwaka huu na unaisha mwakani mwezi wa sita
Mbona mji wenu una vigorofa vifupivifupi mwisho tatuTatizo hutaki kusikia huu mradi ndo maana unaona nimeongelea huu mradi zamani...
Huu mradi umeanza mwezi wa nne mwaka huu na unaisha mwakani mwezi wa sita
bila shaka umesahau tetemeko la ardhi lililoikumba Bukoba 2016...Mbona mji wenu una vigorofa vifupivifupi mwisho tatu
Unafikiri Bukoba wanaushamba wa kurundika fremu mji mzima kama mbeya au huko kusini?Upuuzi Kuna skyline yeyote ya maana hapo?
Pili hiyo ni mall au Fremu? 😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣
Kwa hiyo vile viduka pale kwenye Gorofa la Kabwe-Mbeya tuite mall kama nyie huko Bukoba Fishing village au? Acheni ujinga na ushamba basi.Unafikiri Bukoba wanaushamba wa kurundika fremu mji mzima kama mbeya au huko kusini?
Kitu kikikamilika kitakuwa hiv
Na naskia kuna Bukoba wet and wild recreation park inakuja soon mwakani
Pole sana...Kwa hiyo vile viduka pale kwenye Gorofa la Kabwe-Mbeya tuite mall kama nyie huko Bukoba Fishing village au? Acheni ujinga na ushamba basi.
Nyinyi ndo mnajenga sasa hiv?Sumbawanga Airport under construction 🔥View attachment 2851646
Miji ya kusini bwana... sawa mnaongoza mapato..lakini serikali yenu haipatendei haki..ona huu mji kama Kijiji...
Bukoba wanaprefer quality...hii ndo faida ya kujenga brains kwanza kwa watu..Kwa hiyo vile viduka pale kwenye Gorofa la Kabwe-Mbeya tuite mall kama nyie huko Bukoba Fishing village au? Acheni ujinga na ushamba basi.
🗑️🗑️Bukoba wanaprefer quality...hii ndo faida ya kujenga brains kwanza kwa watu..
Ona huu Ukumbi mpya wa KCU conference centre uliofunguliwa juzi hapo Bukoba..
Na utalia sana mwaka huu...[emoji2781][emoji2781]
Na utalia sana mwaka huu...[emoji2781][emoji2781]
NAOna bukoba bado mna kumbushwaMiji ya kusini bwana... sawa mnaongoza mapato..lakini serikali yenu haipatendei haki..ona huu mji kama Kijiji...
Huu ni mtaa mmoja tu wa Bukoba mnakosema hakuna mapato
Samia amepeleka Vyuo Vikuu Mikoa yote Wala sio swala la upekee wa Bukoba so usijidanganye.Na utalia sana mwaka huu...
Hii ni campus mpya ya chuo kikuu cha nelson Mandela inayojengwa Bukoba vijijini...wananchi wametoa hekari 300 ili kujengwe chuo hicho chenye thamni ya dollar million 1...
Ujenzo umeanza na jana wamesimika bango la ujenzi...
Na hapo bado chuo kikuu UDSM ujenzi unaendelea...
View: https://www.instagram.com/p/C1ReINVtsbj/?igsh=YWYwM2I1ZDdmOQ==