Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Sumbawanga Airport under construction 🔥
IMG_20231224_112939_264.jpg
 
Tatizo hutaki kusikia huu mradi ndo maana unaona nimeongelea huu mradi zamani...
Huu mradi umeanza mwezi wa nne mwaka huu na unaisha mwakani mwezi wa sita
Mbona mji wenu una vigorofa vifupivifupi mwisho tatu
 
Baada ya mkoa wa njombe kuamua na kuridhia kuwa makambako kuwa mji wa biashara na viwanda watu wanafanya Uwekezaji wa sehemu za ku refresh mind jilani na zone iliyotengwa kwaajili ya viwanda
1703412210019.jpg
1703412223568.jpg
1703468838652.jpg
1703468856058.jpg
 
Mbona mji wenu una vigorofa vifupivifupi mwisho tatu
bila shaka umesahau tetemeko la ardhi lililoikumba Bukoba 2016...
Bukoba maghorofa mengi ni floor 4...kwa sababu basement inapaswa iwe kubwa...
Lakini pia masterplan ya mji wa Bukoba nu kutoka majengo yote yasizidi urefu Bukoba Catholic cathedral ambalo ndo jengo refu kanda ya ziwa kwa sasa...mji unafanana paris na eiffel tower yake...

Mimi mwenyew napenda hivyo mji unakuwa na ghorofa nzr nzr lakin zisiwe ndefu sana huku
Mnara wa Bukoba cathedral ukizidi kuwa landmark ya mji
lakin maghorofa yenye ghorofa 4 hadi 5 yapo hapo Bukoba na mengu yamejengwa mlimani kwenye mwamba mugumu
 
Upuuzi Kuna skyline yeyote ya maana hapo?

Pili hiyo ni mall au Fremu? 😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣
Unafikiri Bukoba wanaushamba wa kurundika fremu mji mzima kama mbeya au huko kusini?
Kitu kikikamilika kitakuwa hiv

Na naskia kuna Bukoba wet and wild recreation park inakuja soon mwakani
 

Attachments

  • Step_into_a_world_of_architectural_with_CityScape_s_Complex_3D_Design._Our_cutting-edge_techno...mp4
    7.4 MB
Unafikiri Bukoba wanaushamba wa kurundika fremu mji mzima kama mbeya au huko kusini?
Kitu kikikamilika kitakuwa hiv

Na naskia kuna Bukoba wet and wild recreation park inakuja soon mwakani
Kwa hiyo vile viduka pale kwenye Gorofa la Kabwe-Mbeya tuite mall kama nyie huko Bukoba Fishing village au? Acheni ujinga na ushamba basi.
 
Sumbawanga Airport under construction 🔥View attachment 2851646
Nyinyi ndo mnajenga sasa hiv?

Bukoba Airport mwakani inawekewa control tower na Taa kwa ajili ya ndege kutua usiku

Kunajengea VIP terminal ya Bukoba Airport
Wako wanatafuta mkandarasi...
Sema watz bwana...ukosefu wa stendi Bukoba umefanya wengi kutoona maendeleo mengine makubwa yaliyopo Bukoba ambayo mkoa kwao hakuna...
 
Kwa hiyo vile viduka pale kwenye Gorofa la Kabwe-Mbeya tuite mall kama nyie huko Bukoba Fishing village au? Acheni ujinga na ushamba basi.
Bukoba wanaprefer quality...hii ndo faida ya kujenga brains kwanza kwa watu..
Ona huu Ukumbi mpya wa KCU conference centre uliofunguliwa juzi hapo Bukoba..
 

Attachments

  • Namshukuru_Mungu_ukumbi_wetu_wa_KCU_CONFERENCE_CENTRE_ulioko_Bukoba_mjini_umeanza_kutumika_ras...mp4
    3 MB
Miji ya kusini bwana... sawa mnaongoza mapato..lakini serikali yenu haipatendei haki..ona huu mji kama Kijiji...

Huu ni mtaa mmoja tu wa Bukoba mnakosema hakuna mapato
NAOna bukoba bado mna kumbushwa
1703526443907.jpg
 
Na utalia sana mwaka huu...
Hii ni campus mpya ya chuo kikuu cha nelson Mandela inayojengwa Bukoba vijijini...wananchi wametoa hekari 300 ili kujengwe chuo hicho chenye thamni ya dollar million 1...

Ujenzo umeanza na jana wamesimika bango la ujenzi...

Na hapo bado chuo kikuu UDSM ujenzi unaendelea...


View: https://www.instagram.com/p/C1ReINVtsbj/?igsh=YWYwM2I1ZDdmOQ==

Samia amepeleka Vyuo Vikuu Mikoa yote Wala sio swala la upekee wa Bukoba so usijidanganye.

Hata Rukwa MUST wanajenga Chuo Kikuu tena kilianza Toka mwaka juzi
 
Back
Top Bottom