Kahama VS Njombe/Mafinga

Mbeya streets

 
Zamani nilikuwa najua Bukoba ndio nzuri baada ya Mwanza kumbe ni trash tuu 😁😁

Naona Geita Iko vizuri kuliko Bukoba.

Just look 10 floors building and still counting

Well planned and organized
 
Zamani nilikuwa najua Bukoba ndio nzuri baada ya Mwanza kumbe ni trash tuu 😁😁

Naona Geita Iko vizuri kuliko Bukoba.

Just look 10 floors building and still counting

Well planned and organized View attachment 2853293
Kumbe na we mwenzangu umeliona ndo maana jamaa nilimpiga swali kuwa mbona anatuonyesha vigorofa vifupi vifupi Kila siku miji inayo jitambua saiz imeanza kuweka vitu vyenye floor kuanzia nne kwenda juu
 
Tumempa doz Kali mno kaanza kuloose mambo anafananisha na vitu ambavyo hata havieleweki
Nashangaa eti Kanzega ndio wanataka Kawe Makao Makuu ya Mkoa Mpya wakati hakuna Cha maana Bora hata Igunga.

Sijawahi ona Gorofa hata Moja Nzega nililala pale Mwezi May mwaka huu labda vilinge vya Bata tuu nothing else.
 
Zamani nilikuwa najua Bukoba ndio nzuri baada ya Mwanza kumbe ni trash tuu 😁😁

Naona Geita Iko vizuri kuliko Bukoba.

Just look 10 floors building and still counting

Well planned and organized View attachment 2853293
Huu si mji wa Moshi? Naomba mitaa ya mbuyuni, stendi nk...nao huu mji umestack muda mrefu kimaendelei

Wew jamaa acha kujifungia huko kusini tembea uone
 
Kumbe na we mwenzangu umeliona ndo maana jamaa nilimpiga swali kuwa mbona anatuonyesha vigorofa vifupi vifupi Kila siku miji inayo jitambua saiz imeanza kuweka vitu vyenye floor kuanzia nne kwenda juu
Kwa hiyo maghorofa marefu ndo maendeleo?
Haki ndo maana nyinyi ni washamba na miji yenu iliyojaa slums na fremu...
Mnajenga maghorofa marefu Kwan hamna maeneo?

Bukoba mji una standard zake na zinafuatwa
Hili pembeni ni hotel ya nyota nne na ni ghorofa...ujenzi unaendelea mtaa wa miembeni
 

Attachments

  • Screenshot_20231226-062100.png
    2.1 MB · Views: 1
Gorofa ndefu zinasadi kubadili mwonekano wa CBD Za miji mfano huo wa dodoma cc ,mbeya cc na iringa wenzenu hawaja kumbatia magofu yaliyo achwa na wakolon wanavunja wanajenga vitu vipya
 

Attachments

  • FB_IMG_16732856622198589.jpg
    40.4 KB · Views: 1
Nyie ni maskini hamna pesa za kujenga magorofa usituchishe na blaa blaa za kujifariji hapa.
 
Nyie ni maskini hamna pesa za kujenga magorofa usituchishe na blaa blaa za kujifariji hapa.
Kukamilika Kwa daraja la Busisi kitaleta mapinduzi makubwa kwenye sekta ya uchumi ...Kwa kuunganisha Kigali na Nairobi kwenda bandari ya Mombasa.... MWANZA is strategic City

 
Sasa hapo Kuna tofauti gan na mulebaπŸ˜‚πŸ˜‚
Huu ni mji mdogo wa muleba km 70 kutoka Bukoba...


Kwa Kanda ya ziwa ukiitoa mwanza hakuna mji una majengo na maendeleo mengi kuliko Bukoba...ndo maana Bukoba Kuna second largest port, second populous Airport, Kuna good stadium, hospitals, shule nzr nk nk
Population tu Bukoba ndo inakopitwa ila kimaendeleo nop...
Geita yenyew haina stendi na Barbara za mtaa ni matope japo Kuna mgodi mkubwa tu hapo
Hii ni muleba

View: https://www.instagram.com/tv/Cyxj0sDtZVR/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==
 
Shida unapenda ku undermine miji mingine Wakati kwa ukongwe ulionao mji wa bukoba ilitakiwa ibishane na miji kama Moro ,iringa ,songea ,Moshi,sumbawanga ,tabora nk lakini Cha ajabu hadi saiz mnahangaika na miradi ambayo ilitakiwa itekelezwe miaka ya nyuma saiz ilikuwa ni wakati wa miji iliyoibuka miaka ya jilani kama kahama ,makambako,mafinga ,tunduma, na Geita na imeanza kufanya project ambazo hata bukoba hazipo mnaishia kujitetea na kuleta picha ya nyumba za vijijin Yan kwa Kanda ya ziwa Geita na kahama imesha washusha bukoba hamna jipya
 
Utasikia jamaa wa Bukoba fishing Village anauliza mnajenga magorofa marefu Ili iwaje 😁😁😁😁

πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨ Swax
 
Naomba umetaja miji kibao sijui Morogoro, sumbawanga, Tabora,iringa, Moshi...
Nikuulize ushawahi fika kwenye hio miji ukapalinganisha na Bukoba?
Bukoba kulikuwa kunakosa stendi tu vingine kama Barbara za mitaa, Airport, bandari, uwanja wa mpira ,elimu nk Iko mbali sana kuliko hio miji Yako uliyoitaja hapa...mji kama Morogoro una Barbara mbovu za mitaa na walivyo na udongo mwekundu...
Mji wa Moshi mdogo kama pilton na Kuna mitaa yake mingi haina lami ni mavumbi tu
Sumbawanga huko wanalima mbogamboga kwenye airport

Eti mji mkongwe Kwan wakati Bukoba inakua njombe ilikuwa haijaumbwa sio? Na kaa ukijua aliyekutangulia kakutangulia tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…