Kahama VS Njombe/Mafinga

Bukoba ni Kijiji Cha wavuvi sio Mji ,hauna Vigezo mnaitwa Manispaa ila ni uchwara.

πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨ Swax
 
Sasa hii Barbara mtu akitembea anapishanaje na magariπŸ˜‚πŸ˜‚...hiz ndo Barbara za lami zilozojengwa sumbawanga? Mtu akikosea kidogo yupo mtaroni..
Tuje kwenye majengo sasa ni njaa Kali kweli kweli...
Barabara za Arusha mitaani Huwa wanapishanaje?

πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨ Rising from ground in Swax
 
We mjomba asee una komaa na bukoba utazan mbinguni hiv bukoba Ina ukubwa gan wa kulinganisha na Moro au iringa vituko Vingine ko kuwa na uwanja wa ndege na bandari unaona mji umekamilisha mambo yote basi msubiri kuwa jiji
 
Wanawekeza kwa sababu kuna uhitaji usiwe zuzu, au hujui maana ya kuwekeza
 
Kumbe ni wanasiasa na si wananchi?? Sasa hapo mwenye uwezo wa ku-control wanasiasa ili kulinda maslahi ya wananchi si ni serikali?? Kwa hiyo shida yako nini??
 
We
Bukoba ni Kijiji Cha wavuvi sio Mji ,hauna Vigezo mnaitwa Manispaa ila ni uchwara.

πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨ Swax
View attachment 2853436View attachment 2853438

Bukoba ni Kijiji Cha wavuvi sio Mji ,hauna Vigezo mnaitwa Manispaa ila ni uchwara.

πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨ Swax
View attachment 2853436View attachment 2853438
We jamaa wa kusini una matatizo, kwa hiyo hako kajengo kwako ni fahari?? Leta view ya kijiji kizima cha wakulima sumbawanga tuone kama hakijajaa slums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…