Kupitia huu mradi TPA wajiandae kuanza ujenZi wa bandari kavu makambako na tunduma ili kusaidia mizigo itakayotoka kwa tunduma mizigo ya mkoa wa songwe na rukwa kwa makambako ni njombe ,ruvuma ,iringa na baadhi ya wilaya za mbeya kama mbarali pia haya maeneo abiria watakwenda kuongezeka kutokakwenye hayo maeneo ko hata ruti za mabus kwenda kwenye vituO hivyo zitakuwa nyingi Sana