Kahama VS Njombe/Mafinga

Kupitia huu mradi TPA wajiandae kuanza ujenZi wa bandari kavu makambako na tunduma ili kusaidia mizigo itakayotoka kwa tunduma mizigo ya mkoa wa songwe na rukwa kwa makambako ni njombe ,ruvuma ,iringa na baadhi ya wilaya za mbeya kama mbarali pia haya maeneo abiria watakwenda kuongezeka kutokakwenye hayo maeneo ko hata ruti za mabus kwenda kwenye vituO hivyo zitakuwa nyingi Sana
 
Hapo halmashauri Ya mji makambako ilitangaza zone mbili baada kupata wawekezaji wa product za chuma wameongeza zone nyingine songea road ekari za kuzidi Kiukwel Sasa mkoa wa njombe unaenda kupaa zaidi industrial park Zinazidi kuongezeka kwenye zone walizotenga tatu kubwa https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/makambakotc.go.tz/videos/1556528171779092/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/reel/7351437401586542/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
 

Attachments

  • 1696737622411.jpg
    183.8 KB · Views: 2
China imewasilisha mpango utakaotumia TZS trilioni 2.5 kuboresha reli ya TAZARA, ikiwa ni mkakati wa Tanzania na Zambia kuendesha reli hiyo kibiashara.

Tanzania inajiimarisha kuwa kituo cha biashara na usafirishaji na kufanikisha hilo inaboresha miundombinu ya usafirishaji ya reli, barabara, anga na maji hasa kuzifikia nchi nane inazopakana nazo.

#MamaYukoKazini
 
Ripoti ya uwekezaji mwezi January 2024.

Mbeya& Njombe wamerekodi miradi πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Haya Sasa hii zone ya makambako inaenda kutengeneza mji mkubwa Sana nyanda za juu kUsini maana tayari makazi yameanza kuungana Na sub town za wangingombe ,Halali , ilembula, igwachanya na mtwango baada ya kuliona Hilo mkuu wa mkoa na wakurugenzi husika wamekuja na plan ambazo zitakuza zaidi mapato na Barabara ambazo zingine tayar wameweka lami kuweka haya ndo maono Cha ya mkoa wa njombe whttps://youtu.be/XzZJG0JpkdI?si=ktYyThroTKGkxkj5https://youtu.be/XzZJG0JpkdI?si=ktYyThroTKGkxkj5https://youtu.be/XzZJG0JpkdI?si=ktYyThroTKGkxkj5https://youtu.be/XzZJG0JpkdI?si=ktYyThroTKGkxkj5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…