Kahama VS Njombe/Mafinga

Kiwanda cha billion 159 kinajengwa na mzawa tena kwenye eneo la watu masikini eti?
Kinajengwa,huku we have already operational viwanda kwenye sekta zote kuanzia diary, agriculture Hadi timber industry sasa nyie mnatambaa

Idadi ya Matajiri Njombe ni wengi kuliko hao machinga mnaoona ndio wenye pesa hapo kwenu Kahama eti bln 159,,Njooni Njombe mtoe tongotongo nyie maskini wa migodini
 
sikiliza kipande cha Magu
 
Kahama ni Manispaa kabla ya Geita, Acha kulinganisha KAHAMA na vitu vya kijinga. Nakushauri ufungue Uzi wa Geita Vs Njombe. Hii ya KAHAMA mshindi katangazwa leo 28/01/2021 na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Manispaa uchwara hiyo imejaa maskini ndio ilinganishwe na Njombe? Tupia picha za magorofa tuone
 
Haafu unalinganisha manispaa zilizokuwa kwa nguvu za kisiasa (makao makuu ya mkoa) na halimshauri ya mji iliyokuwa kwa potential yake yenyewe πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„
 
Haafu unalinganisha manispaa zilizokuwa kwa nguvu za kisiasa (makao makuu ya mkoa) na halimshauri ya mji iliyokuwa kwa potential yake yenyewe [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wewe umechanganyikiwa na kiminyo cha covid ,Njombe na Mafinga zimekuwa Town councils kabla ya kuanzishwa Mikoa na Kahama ilizitangulia ndio zikafuata ko huwezi sema eti zimekuwa kisiasa.

Miji ya kisiasa ni kama Kahama ilivyotangazwa tuu lakini haina quality hiyo zaidi ya kujaza maskini na machinga na wachuuzi tuu
 
Heeehhhh! Mwaka Jana TAMISEMI walipendekeza Halmashauri tatu kuwa Manisipaa GEITA, KAHAMA na KIBAHA. huko GEITA si ndio kitovuni kwenyewe lakini mpaka leo TC kama NJOMBE tu, πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„
 
Mimi ni mtu wa tanga nimefika kahama January hii hakika kahama inazizidi baadhi ya manispaa kwa mzunguko wa fedha na wanajenga nyumba za kisasa sana na mabenk ni mengi + supermarket, nashindwa kuelewa hao wana njombe sijui wanatumia kigezo gani kuilinganisha na kahama, naona wengi wameng'ang'ania hoja ya maskini wengi ingawa sijaona viashiria vingi vya umaskini kahama, by the way hata dar maskini ni wengi kwa iyo tuseme dar hamna kitu
 
Nipo Dar kimaisha, sehemu nyingi DAR ni bora hata Kahama, uwezi linganisha Keko , Vingunguti na Nyihogo, Majengo au Igomelo ya Kahama.
 
Sasa kwa nini hiyo political status haiisaidii njombe kua manispaa
Aliyejiskia kutamka anaweza kwenda Njombe na akatamka kuwa ni Manispaa kwani si inategemea na alivyoamka au?

Afu sio lazima iwe Manispaa sisi tunafoxus na utajiri sio ujinga wa sijui Manispaa sijui nn wakati haviwaletei ugali mezani mnazidi kuwa maskini
 
Utajiri hata uwanja wa ndege hamna???? πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„
 
Takwimu za idara ya Taifa ya Takwimu sio sisi.Kuwa na vibanda vingi vilivyosongamana sio maendeleo ni dalili ya maskini na maisha ya hovyo ya kuunga unga

Ukitaka nyumba Njoo Kusini yote as a case study njoo Njombe hakuna matope wala tembe huku tena saizi masika kila tunda utapata kuanzia apples Hadi tunda damu au fenesi la kijerumani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…