tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Kahama inawakazi 300000 au unasema kahama ya njombeWilaya ya Kahama ina Halmashauri Tatu (Ushetu DC, Msalala DC na KMC) chini ya Mkuu wa wilaya Anamlingi Macha) Inakadiriwa wilaya ya Kahama ina Idadi ya watu 1.2 million huku Kahama Municipal Council ikiwa na idadi ya watu 320,000. Ni rahisi na mapema sana hiyo KMC kuwa Jiji kabla ya Njombe