Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Wilaya ya Kahama ina Halmashauri Tatu (Ushetu DC, Msalala DC na KMC) chini ya Mkuu wa wilaya Anamlingi Macha) Inakadiriwa wilaya ya Kahama ina Idadi ya watu 1.2 million huku Kahama Municipal Council ikiwa na idadi ya watu 320,000. Ni rahisi na mapema sana hiyo KMC kuwa Jiji kabla ya Njombe
Kahama inawakazi 300000 au unasema kahama ya njombe
 
Hiyo hali iko maeneo mengi tu ya nchi na sio huko Iringa pekee na mtoa mada alikuwa na lake jambo
Mapato ya Kahama mwaka wa fedha ulioishia yaani 2019/2020 hadi April yalikuwa 4.0 bln pekee which means by June walifikia around 5.1 bln pekee wakati wenzao Njombe ilivuka malengo na kufikia 4.1 bln by June 2020.Sasa ukiangalia hapo Njombe inafunga gap kwa haraka sana huku Kahama ikiwa stagnant au kupungua over years.
Hii inatranslate kwamba shughuli mpya za kiuchumi ni hamna au watu wanafunga biashara kwa hasara,angalia jedwali hili hapa chini sehemu iliyoandikwa Muhtasari wa Mapato
Hahaha anga lishachafukaa
 
Wale wanjombe mafinga mko wapi..nadhani mmeisikilza vyema hotuba ya leo ya JPM ndani ya manispaa ya KAHAMA.

#MaendeleoHayanaChama
Kahama kupewa hadhi ya Manispaa kisiasa hakubadilishi chochote ,kilichopo ni kwamba Kahama unazidi Njombe kwa idadi kubwa ya maskini tuu na si vinginevyo
 
Wilaya ya Kahama ina Halmashauri Tatu (Ushetu DC, Msalala DC na KMC) chini ya Mkuu wa wilaya Anamlingi Macha) Inakadiriwa wilaya ya Kahama ina Idadi ya watu 1.2 million huku Kahama Municipal Council ikiwa na idadi ya watu 320,000. Ni rahisi na mapema sana hiyo KMC kuwa Jiji kabla ya Njombe
Hizo political status hazitaweza kuwapunguzia umaskini mlio nao wala kuwaongezea chochote tangible zaidi ya proud uchwara

Njombe itabakia kuwa juu kwenye nyanja zote za maisha au tutupie picha
 
Karibuni kwenye mada
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga
Je ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwinzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Mafinga mkuu una fursa nyingi,Kahama imeshashikwa na wajanja, nenda Mafinga katafute mashamba huko vijijini Mufindi,panda miti ya mbao,lima mahindi na maharage. tatizo wengi tunataka kuanza biashara na kupata faida muda huo huo,wekeza kwenye miti ya mbao na milingoti,inachukua miaka kama 15- 20 ukiwa kijana huo ni uwekezaji mzuri.
 
Back
Top Bottom