Mzee wa Makambako,mnafeli wapi kwenye Mapato Hadi mnapitwa na Makete na Wanging'ombe?ππ
Mzee wa Makambako,mnafeli wapi kwenye Mapato Hadi mnapitwa na Makete na Wanging'ombe?ππView attachment 2966943
Makambako Ina jina kubwa ila Mapato sifuri
UKiongelea mambo ya mapato bado vyanzo vya mapato makambako vilikuwa vichache mno kadri siku zinavo sogea vinazidi kuongezeka ndo maana hata figa hapo utaona zimeanza kupanda tofauti na halmashauri nyingine za njombe zinapatia kwenye Kilimo na mbao ukija kwenye tra utaona makambako inafanya vizuri kuliko halmashauri zingine za mkoa ko bado miradi inaendelea kuibuliwa na makete na wangingombe tayar kule road zimefunguka ko lazima mapato yapandeMzee wa Makambako,mnafeli wapi kwenye Mapato Hadi mnapitwa na Makete na Wanging'ombe?ππView attachment 2966943
Makambako Ina jina kubwa ila Mapato sifuri
Sawa mda utasema.UKiongelea mambo ya mapato bado vyanzo vya mapato makambako vilikuwa vichache mno kadri siku zinavo sogea vinazidi kuongezeka ndo maana hata figa hapo utaona zimeanza kupanda tofauti na halmashauri nyingine za njombe zinapatia kwenye Kilimo na mbao ukija kwenye tra utaona makambako inafanya vizuri kuliko halmashauri zingine za mkoa ko bado miradi inaendelea kuibuliwa na makete na wangingombe tayar kule road zimefunguka ko lazima mapato yapande
Ishu kama nilivo kwambia Barabara makete na wangingombe zimefunguka hasa Ile ya makete saiz gari nyingi zinaenda huko huko kuchukua mbao tofauti na mara ya kwanzaSawa mda utasema.
Ila hata Njombe TC imeshindwa kabisa kuvuka kiunzi Cha Bil.8 Kwa miaka 3 mfululizo Sasa,Mapato ya Juu yaliwahi fika 8.5 lakini yameshuka Hadi 8.2 ,the same to Makambako imeshindwa kuvuka kiunzi Cha Bil.3.
Halmashauri zingine hasa Wanging'ombe,Makete na Ludewa Mapato Yao yameongezeka ila Njombe TC,Njombe DC na Makambako yameshuka yaani ni yamekwamia humo humo.
Shida nini? Parachichi hazifanyi vizuri? Au mbao zimeshuka bei?
Ikifunguka Ile ya Mbeya ndio ita boost zaidi.Ishu kama nilivo kwambia Barabara makete na wangingombe zimefunguka hasa Ile ya makete saiz gari nyingi zinaenda huko huko kuchukua mbao tofauti na mara ya kwanza
Ni sahihi zikifunguka hizi mapato ya mkoa yataongezeka zaidiIkifunguka Ile ya Mbeya ndio ita boost zaidi.
Bado kazi kubwa inatakiwa kufanyika Ludewa na Njia ya Njombe-Mlimba.